Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Takrima ya usafiri shilingi elfu tano ni balaa kubwa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NELSON LANGSON, Jun 10, 2012.

 1. N

  NELSON LANGSON Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiona unafadhiriwa usafiri na kupewa shilingi elfu tano kwenda kwenye mkutano wa chama ni dalili za chama hicho kufirisika kisera na ujue utazilipa hizo gharama,kwa kufisadi rasilimali za nchi yetu.si watu wazuri hawa kaa chonjo saa mbaya
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,403
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Tanzania tunaangushwa na wazee na kina mama baadhi.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  KITENDO HICHO ni kujaribu kuokoteza uhai kwa kutumia fedha, ambapo practically HAKUNAGA.
   
 4. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 11,984
  Likes Received: 7,352
  Trophy Points: 280
  njaa zinatuua sana
   
Loading...