"NAPE is the top of the week politician" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"NAPE is the top of the week politician"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, Jun 10, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Jana ni siku niliyoisubiria kwa hamu kuona nn kitaongelewa ktk mkutano wa CCM pale CDM square, licha ya CCM kuboronga ktk kuelezea facts na kutoa majibu ya kero zetu na muda mwingi kubase ktk kuichafua CHADEMA kwa cheap propaganda lakini napenda kuchukua fursa hii ku-appreciate kazi nzuri iliyofanywa na Nape Nnauye ktk kusema ukweli juu ya Uhamsho na tukio la kigaidi la kuchoma makanisa lilofanyika zanzibar ambapo ni wanasiasa wengi walishindwa kuelezea ukweli na kubaki kujiuma uma mfano zitto Mtatiro,Lissu etc . Kwa kitendo hiki cha Nape kimethibisha na kudhihirisha ukomavu wake wa kisiasa na kuwa yy ni mpambanaji sema mahali alipo (CCM) panadescourage uwezo wake.
  BIG UP NAPE .M. NNAUYE

  (John 8:32)" Then you will know the truth, and the truth will set you free"
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kama panadescourage kweli,basi kazi ipo
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hakuna Ukweli wowote kuhusu UAMSHO, alihubiri Ugomvi kama UAMSHO wanavyohubiri hakupaswa kuongelea hayo

  kiugomvi na kuwaita Majina, Masuala ya kuchoma moto makanisa yako Mikononi Mwa Polisi; na UAMSHO they are

  Innocent Until Proven Guilty; Kwahiyo Sio kupanda Jukwaani na kuwatusi na kuwatwaa Makosa bila Uthibitisho hayo

  Ndiyo yataanza kutuua; Nadhani Umesoma Hotuba ya Mzee Mwinyi. Anasema Ukweli

  * NAPE anafaa kupelekwa kwenye HUNGER MANAGEMENT.
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hakuna Ukweli wowote kuhusu UAMSHO, alihubiri Ugomvi kama UAMSHO wanavyohubiri hakupaswa kuongelea hayo

  kiugomvi na kuwaita Majina, Masuala ya kuchoma moto makanisa yako Mikononi Mwa Polisi; na UAMSHO they are

  Innocent Until Proven Guilty; Kwahiyo Sio kupanda Jukwaani na kuwatusi na kuwatwaa Makosa bila Uthibitisho hayo

  Ndiyo yataanza kutuua; Nadhani Umesoma Hotuba ya Mzee Mwinyi. Anasema Ukweli

  * NAPE anafaa kupelekwa kwenye HUNGER MANAGEMENT.
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Mashetani yanaonekana?mahakamani anaweza jitetea vile?nothing tangible from what he said yesterday
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  kitendo cha Nape kukikashifu Kikundi cha Kidini cha UAMSHO ni sawa na kuitukana Dini yenyewe anatakiwa aombe msamaha mara moja vinginevyo kura zao atazikosa
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  "The truth will set you free"
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  "The only liberator in the darkness is the truth" By Godbless lema.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Alisema kikundi cha Uamsho ni Majambazi. Ni kweli kwamba makanisa yalichomwa, lakini haikuthibitika kama ni kikundi cha Uamsho ndo walichoma, ama ni vijana wa Shein au polisi kuwahadaa umma kana kwamba Uamsho ndo walichoma makanisa.
  Kwa CCM mtu yeyote anayedai haki na ukweli ni Mhalifu! Shardcole
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. B

  Bob G JF Bronze Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mwinyi nae kasema UAMSHO NI KUNDI LA KIGAIDI Kama al shabab na boko haram
   
 11. dindaiphilly

  dindaiphilly Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tuache kudanganyana na kuwapa watu majina ya sifa na kuwasifu wakati ni upuuzi mtupu,! kilichofanywa jana na wanaCCM jangwani ni kukumbuka shuka wakati kumekucha au ni kama msemo usemao "mfa maji hakosi kutapatapa".Miaka 50 walikuwa wapi?
   
 12. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa!Mimi sikubaliani na wewe.kwanza tambua kabisa waliochoma makanisa ni pandikizi ili kuzima hoja ya muungano ambayo Uamsho walikua ni hoja ya moto kabisa.Lakini pili Nape amethubutu kuwaita Uamsho kuwa ni Majambazi.nape anapata wapi nguvu ya kuwaita uamsho kuwa ni majambazi?je Nape anaweza kuthibitisha kuwa uamsho ndio wamechoma makanisa?Mimi sikubaliani na wewe mleta mada bado kuna vitu kiintelijensia huvijui kuhusiana na uchomaji wa makanisa zanziba na ndio maana kauli ya Lissu na Zitto hujaielewa
   
 13. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kilicho fanywa na CCM ni kuagana na wanachama wake,hakuna lingine
   
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa!mimi ni mkrito na ni mwiongoni mwa watu ambao hawakufurahishwa na uchomaji wa makanisa.Lakini kwa hili la Nape kakosea,akiweza kudhibitisha kuwa Uamsho ndio walichoma makanisa hapo ntamuunga mkono.ukweli uliofichika ni kwamba serikali haikutaka kabisa uamsho kuongelea habar ya Muungano,ili kuizima hoja hiyo kumepandikizwa watu wa kuchoma makanisa ili kuzima hoja ya muungano.na hili Nape anajua,how leo Nape anawaita uamsho ni majambazi wakati walikuwepo na hawajaanza kazi yao leo?au kwakua wamegusa muungano?
   
 15. a

  andrews JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU.
  1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA
  2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA
  KATIKA UANZISHWAJI BENKI HIZO SERIKALI INA MPANGO WA KUWAHADAA WATZ KWA KUWAAMBIA WATAWAKOPESHA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU,KUANZIA MILLION 1MPAKA 15.LAKINI KATIKA UOMBAJI HUO UNAHUSISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KAMA MAWAKALA WAO ILI UPATE MKOPO,CHA KUCHEKESHA ZAIDI INAAMINIKA CCM IMEJIPANGA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA URAIA NA HASA CHA KUPIGIA KURA KAMA MTAJI WA KUWAPATA HAO WALENGWA.NA KUHAKIKISHA WANAOCHUKUA MIKOPO WOTE WATAIPIGIA CCM UCHAGUZI KUANZIA UDIWANI WA 2014 NA UCHAGUZI MKUU 2015.LAKINI WAJUMBE WENGI WANA WASIWASI KUWA VIJANA WALIO WENGI WAMEELEVUKA SANA NA WATAKULA PESA ZAO NA KUWAPIGIA WAPINZANI.CCM ILITUMIA MKUTANO WA JANGWANI KAMA KIPIMA JOTO SASA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI MAANA MKUSANYIKO ULE HAUKUKAMILIKA BILA YA PESA SASA WANAJIULIZA BILA VIKINDI VYA SANAA KWELI WATAKUBALIKA,MJUMBE ALIYE KARIBU NA NAPE KASEMA CHADEMA INAWANYIMA USINGIZI KULIKO HATA MAGONJWA YA WAZAZI WAO AU WANANDOA WAO.
  BINTI MREMBO LUMUMBA CCM
  :confused2:
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  week=weak?
   
Loading...