Maaskofu kimya hapa , wamesahau kutoa laana zao ??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maaskofu kimya hapa , wamesahau kutoa laana zao ???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kwamwewe, Jun 10, 2012.

 1. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,314
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  MBONA HATUWASIKII MAASKOFU KULAANI HII KITU ????

  Ni kanisa la full gospel bible felowship{FGBF-CHURCH} ni jaribio lakuchoma moto jengo la ibada,ambalo limeshindwa kwa mara ya tatu sasa.mara ya kwanza ilikuwa mwanzoni mwa april 2012,mara ya pili ilikuwa may 26-2012,mara ya tatu ilikuwa may 29-2012 matukio yote yakifanyika usiku.inadaiwa mtu anatumwa na wasabato.sababu eti mafundisho ya kanisa hilo yanapotosha kwakufundisha kinyume na usabato,na maombezi ya miujiza inayofanyika kanisani hapo.tunashukuru kwa Mungu wa miujiza amezidi kuuzima moto kila walipouwasha.
  Habari zaidi wasiliana na : pastorngumba@live.co.uk
  au 0756847424
  au uliza police nyamongo. Samahani nimeshindwa kuingiza picha.
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  wewe kama huna cha ku post sio lazima uandike!!
   
 3. E

  EDOMU Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona kama umetumwa kutoka kuzimu vile.ku post udaku ni sifa za kijinga!!!!
   
 4. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,314
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160

  SORRY CHARLIE , nilifikiri uliwakumbusha maaskofu na laana zao kwa uamsho
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,088
  Likes Received: 10,447
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wanalaana jamani khaaa...
   
Loading...