Hivi Mbowe Akihamia CUF utafanya nini?

Hivi Mbowe Akihamia CUF utafanya nini?

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,961
Wewe kama mwanachama wa CDM ikitokea Mbowe kahamia CUF au CCM utafanya nn?
 
Wewe kama mwanachama wa CDM ikitokea Mbowe kahamia CUF au CCM utafanya nn?

Akihamia CUF moja kwa moja atakuwa ameamua kwa hiari yake kujibadili kutoka binadamu wa kawaida kuwa GAIDI na akihamia CCM huyo ni FISADI.

La kufanya ni kukitaka Chama kupeleka mashitaka kwa umma ili uamue la kufanya. Sina jibu zuri zaidi ya hili.
 
Wewe kama mwanachama wa CDM ikitokea Mbowe kahamia CUF au CCM utafanya nn?

Kwani we ni mwanachama wa JK au mwanachama wa CCM ?

Ukijibu utakuwa umepata jibu la jumla !!!
 
Hivi mwanamke anabebaga mimba?
Hivi watu wana kulaga chakula?
Hivi ziwa victoria ina maji?
Hivi bahari ya hindi ina maji?
Hivi Tanzania ni nchi?
 
Kwani we ni mwanachama wa JK au mwanachama wa CCM ?

Ukijibu utakuwa umepata jibu la jumla !!!

Nimeipenda Signature yako. MIMI SIO MUUMINI WA CHAMA WALA MTU. Sasa kama wewe ni CDM hebu nijibu utafanya nini?
 
Hivi mwanamke anabebaga mimba?
Hivi watu wana kulaga chakula?
Hivi ziwa victoria ina maji?
Hivi bahari ya hindi ina maji?
Hivi Tanzania ni nchi?

Unamaanisha nini?
 
Ni haki yake kikatiba hakuna wa kumzuia but ataaktiwa pia apelekwe Mirembe akapimwe akili kama ni mzima
 
Back
Top Bottom