Lusinde kweli kichaka

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
99
Leo dodoma,
kaulizwa swali na mtangazji wa tbc1.
unaionaje bajeti hii.
kaisifia sana na kusema itasaidia sana wananchi na zaidi anaipongeza serikali kwa kutenga bilioni 500 za maji..

hilo cha mtoto,
kibaya zaidi anadai eti anawashangaa kwanini mamantilie atumie line nne za simu wakati yeye mbunge anatumia line ya mtandao moja tu.(hajui kupiga simu voda vs tigo or zain or zantel ni cost kuliko tigo to tigo or voda to voda
labda nimkumbushe LUSINDE na ccm yake.
watu tunatumia line tofauti tofauti kupunguza ghalama(ku-minimize cost),
sasa mmepandisha tena si ndio balaa!!
 
'mimi mbunge natumia line moja,mama ntilie ana line nne za nini????'-lusinde wa matusi
 
Jamaa nilimshangaa sna kuongea pumba kama ile kweli lusinde hamna kitu.
 
Kweli Ccm akuna wabunge,ivi kungekua akuna wabunge wa upinzani ndani ya bunge hawa wabunge wa Ccm siwangeuza nchi?
 
Du huyu jamaa hachagui wakutukana hata mama zetu wanaotulisha chakula fresh kwa bei nafuu Ana wadhalilisha du!
 
Bangi zote zinazoota ardhini zina rangi ya....!? Na bendera ya chama ina rangi ya...!?
Nasema niwalambe, nisiwalambe
 
Nasikia kichefuchefu jamani kila nikiona jina huyu jamaa,nadhani aliyemlaani kafa!!!pambaf!!
 
Kweli watu wakikutaa ni balaa. Malecela aling'ang'ania ubunge bila ya kujua jinsi walivyokuwa wamemchoka walikuwa radhi kulipa ushindi hata kama ni jiwe na si mzee huyu na kilichotokea ni bora kumpa Lusinde kuliko huyu jabali. poleni sana wana mtera mbunge hamna.
 
Lusinde mbunge wangu na nitamchagua 2015 mlitaka ahojiwe nani Dogo janja anayetaka nchi ya Meru ?
 
Kweli watu wakikutaa ni balaa. Malecela aling'ang'ania ubunge bila ya kujua jinsi walivyokuwa wamemchoka walikuwa radhi kulipa ushindi hata kama ni jiwe na si mzee huyu na kilichotokea ni bora kumpa Lusinde kuliko huyu jabali. poleni sana wana mtera mbunge hamna.

Hapo sasa! Kumbe kukichoka kitu na kuamua kwa kazba kuna madhara makubwa? Kwa hiyo afadhali ya malecela!
 
Leo dodoma,
kaulizwa swali na mtangazji wa tbc1.
unaionaje bajeti hii.
kaisifia sana na kusema itasaidia sana wananchi na zaidi anaipongeza serikali kwa kutenga bilioni 500 za maji..

hilo cha mtoto,
kibaya zaidi anadai eti anawashangaa kwanini mamantilie atumie line nne za simu wakati yeye mbunge anatumia line ya mtandao moja tu.(hajui kupiga simu voda vs tigo or zain or zantel ni cost kuliko tigo to tigo or voda to voda
labda nimkumbushe LUSINDE na ccm yake.
watu tunatumia line tofauti tofauti kupunguza ghalama(ku-minimize cost),
sasa mmepandisha tena si ndio balaa!!

lUSINDE ni chizi
 
nimemsikia lusinde leo tbc yaani ni bonge fwala amepongeza kupandishwa kwa tozo ya wine kutoka nje c'se wananchi wake ni wakulima wa zabibu na watengenezaji wa wine na hivyo watafaidika
Wine produced with more than 25% imported grapes from shillings 1,345 per litre to shillings 1,614 per litre; being an increase of shillings 269 per litre

kuonesha ni jinsi gani ambavyo ni mpumba.vu ameshindwa kutambua kuwa local made wines tozo zimepanda kwa 289.65% kwa lita
Wine with domestic grapes content exceeding 75 percent, from shillings 145 to shillings 420 per litre; being an increase of shillings 275 per litre
 
Tuachane naye huyu, nafikiri hajui wala hakumbuki hata alichokiongea. Kwa kweli amenishangaza sana
 
Sidhani hata kama ameilewa bajeti kwa undani! Poor him, nawaonea huruma waliopimpigia kura kumpeleka mjengoni kama mwakilishi wao!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom