Mh. Pinda, Budget ya 2011/12 ya Tshs 5,432,075,207 imeisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Pinda, Budget ya 2011/12 ya Tshs 5,432,075,207 imeisha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Jun 14, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wanajf mpaka sasa sijui huwa inakuwa maana serikali yetu inakuwa na matumiza ya hajabu

  Hivi wizara ikipangiwa fungu fulani linalibaki uwa linaenda wapi?

  Mwaka jana serikali ilitoa bugdet ya Tshs 5,432,075,207 Vote 25 kwa prime minister (see attached)

  Je hii mihela yote imeisha?

  Je budget mpya huwa zinaonyesha residual amount from previous budget?
   

  Attached Files:

Loading...