Faida ya kiuchumi na teknolojia ya ugaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida ya kiuchumi na teknolojia ya ugaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Jun 15, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0


  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  Bila ugaidi na jinai kama biashara ya mihadarati midudu kama hii isingekuwepo. Sayansi ina utata. Inaweza kusaidia kukuza na kupunguza jinai kama inavyoonyesha kwenye ugunduzi wa gari hili lenye kuweza kuhimili misukosuko mingi hasa itokanayo na jinai hizi mbili.

  Texcalibur Technology Armor ni kampuni ambayo imekusudia kutengeneza mamilioni ya dola kwa kuunda magari ambayo hayapenyi risasi ambayo kimsingi yanahitajiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya na watawala wanaoogopa hujuma kuanzia za ndani na za kigaidi.

  Kwa habari zaidi BONYEZA hapa uone jinsi ugaidi na jinai nyingine vinaweza kusaidia katika uchumi na teknolojia. Hili ndilo balaa na ubepari ambao huangalia faida kuliko kitu chochote. Nani mara hii amesahau jinsi China ilivyopoteza uongozi duniani mwaka 1900 kutokana na vita ya biashara ya bangi au Opium War?
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani Kalashnikov alikuwa gaidi?
   
Loading...