Ushauri kwa Ester Bulaya: Ni TRILION na sio TILIONI

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
ester bulaya wakati anahojiwa na TBC alikua akitamka neno TILIONI badala ya TRILIONI, mara ya kwanza nikadhani ulimi tu umeteleza lakini akawa anarudiarudia.

wakati naandika post hii lusinde nae akaohijiwa, huyu bwana mdogo haishiwi kero, nao TBC wanamuhoji lusinde kuhusu hotuba wakitegemea kupata kitu kweli? anyways, alipotakiwa atoe maoni yake kuhusu budget aliisifia, akasema hii ni budget nzuri sana sana, itaongeza kipato cha watu wa dodoma, alipoulizwa kuhusu ongezeko la kodi kwenye muda wa maongezi wa simu alisema, namnukuu 'mimi mbunge nina line moja wewe mama ntilie una line nne za nini?'
 
wewe ndo hilo tu umeliona? Ina mana ujumbe haukufika kusema tilion? acha ubazazi au unakula ugoro!
 
Mbunge lazima awe roll model.
Watoto wanaomsikiliza wanaweza dhani Tilioni ni sahihi badala ya trillion!
 
ndo shida hii unachukua ma matron bar pale mtekenyo pub unawafanya wabunge ..hayo ndo madhara yake
 
Back
Top Bottom