BAJETI isiyojibu shida za wananchi WABUNGE waigomee

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
1. Kodi zinapanda kila siku
2. Mfumko wa bei unatajwa kila siku bila kusema serikali itaudhibiti vipi (at 19% hii ni kiama)
3. Mishahara midogo
4. Utegemezi kwa wafadhili (Hivi baba unapanga matumizi kwa kusema fedha zingine marafiki watatupa??)
5. Wigo wa kodi haujapanuliwa huku ni ahadi ya serikali kila siku
6. Hivi bia au soda ni dhambi? mbona kila mwaka zinapanda, serikali hii inashida gani na ufahamu wake?
7. Mikataba ya madini, haifumuliwi? tunaendelea kupata 3% wajanja 97% kweli hii ( hivi mtu akiiba anahitaji ustarabu kumnyang'anya alichoiba???)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom