Hivi vitu vinafanyika na nchi ya Ethiopia, vyote hivi viko under construction, sio proposed kama vilivyopo hapa Tanzania.
Bwawa la kwanza litakuwa na megawatts zaidi ya 5,000, lingine ni megawats...
Kutokana na takwimu za bajeti serikali imetenga bajeti ya kiasi T.shs.bilioni 192.2 ili kuongeza upatikanaji wa chakula katika kupunguza mfumko wa bei.
Je, mkakati huu utaweza kutosheleza mpango...
Nyuso za "Ukisusa Wenzio Wanakula" katika kikao cha leo cha cabinet, ambacho Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ndio mlolongo wa uongozi wa taasisi hiyo kwa mujibu wa Katiba, ambayo pia inamtaka...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka uwekwe utaratibu maalum utakaowezesha wapasuaji mbao wadogo katika wilaya Mufindi mkoani Iringa, nao kupewa vibali vya kupasua mbao katika msitu wa Sao Hill...
Baada ya majadiliano ya siri hatimaye kamati ya bunge ya huduma za jamii imenywea na kuikubali bajeti ya wizara ya afya.
Kilichotokea siku chache zilizopita kinawezekana kuwa ni kiini macho tu...
Nauliza hivi huu uonevu tunaofanyiwa watanzania utaisha lini?.Hali ngumu ya maisha,bidhaa juu,bado na kodi tena imepanda!bidhaa muhimu zinaonekana ni anasa,mshahara ndiyo hivyo kwa wastani kima...
Ndugu zangu wana JF kwa kuwa wengi ni wepesi kusahau pengine ni vizuri sasa kuweka kumbukumbu ya michango iliyokwenda shule katika Bunge letu(of course kwa kura) ili tuwe objective katika...
Ndugu wana JF, kwa matazamo na hali inavyoonekana sasa Asilimia kubwa ya Vijana, Wasomi, Wakulima, Wafugaji, Wavuvi, Wafanyakazi, Watu wazima na hata Watoto wa Tanzania wanasema Wamekata Tamaa na...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI, MHE. RIZIKI OMAR JUMA (MB), KUHUSU MAKADIRIO NA MATUMIZI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAMBO YA MUUNGANO KWA MWAKA WA FEDHA 2009/2010
.
...
My TAKE:
1.Bunge la Bi-kiroboto linasubiri nini kumsimamisha baduwel?
2.Hawa ndio maBABA wa RUSHWA yani mtu nakula 6.8 Bil Dolar?
Nigeria suspends subsidy probe head on bribe claim Fri Jun...
Ndugu Watanzania hasa waislamu, napenda kuwashauri sana MSIDANGANYIKE na upepo unaovuma sasa wa Dini:
1. Mara Uamsho wa Kiislamu
2. Mara waislamu kugomea Sensa
3. Mara waislamu wanaonewa
4. Mara...
Wapendwa wanaJF hapa chini nakuu baadhi tu ya maneno ya Mzalendo wa kweli Doctor Martin Luther King, Jr juu ya ugandamizaji wa watawala wa kipindi hicho.
To our most bitter opponents we say: We...
Akihojiwa na Mtangazaji wa TBC1 Victoria Patrick nje ya ukumbi wa bunge hapa Dodoma, Mbunge Lusinde amesikika akisema hayo yafuatayo.
" Mimi Mbunge nina Laini Moja, Mama Ntilie ana Laini Nne za...
Aliyekuwa mtendaji mkuu wa ATCL ameibuka na kusema kwamba Dr Mwakyembe alidanganya umma kutokana taarifa alizopewa kuwa ni za uongo na zisizokuwa na ukweli wowote.
Kwa mfano uniform ziligharimu...
Nimekuwa nikipata shida kuamini kama mifumo ya kukusanya maono ya kuunda katiba mpya ya nchi yetu itafuatwa kwa kuhakikisha kila mwananchi anafikiwa.
wasiwasi mkubwa ni kwa vipi mwananchi aliye...
Written by maalim // 15/06/2012 // Habari // 3 Comments
Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
5 June 2012
Mwandishi Manyerere aliyefanya mahojiano haya akiwa...
Claud Mshana
SERIKALI imetenga Sh498.9 bilioni katika bajeti yake ya mwaka ujao wa fedha wa 2012/13, kwa ajili ya kuongeza uzalishaji na usambazaji wa umeme nchini.
Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha...
Najaribu kutazama CCM mrithi wake atakavyokuwa, kwani Maskendo ni mengi, Habari za Ufisadi ni nyingi, Sheria zimepindishwa kidogo, Hospitali bado madawa hakuna...Yaani wananchi wameshakata tamaa...
Waaziri mkuu aliyetuhumiwa kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa akimshika mkono mwakilishi wa kampuni ya Home Shopping Centre, Madiha al Harthy baada ya kutoa mchango wa shilingi 22,000,000...