Satanic_Verses
Member
- Sep 6, 2011
- 37
- 4
Hii ni kama taarifa na sehemu ya kuomba la kufanya kwa wataalamu waliomo humu JF.
Tatizo kubwa hapa ni kuwa Wizara ya Kazi haina kazi. Sioni kama ina mchango wowote ktk maslahi ya watanzania na Taifa kwa jumla.
Sasa hivi makampuni mengi tu ya binafsi yamejaa foreigners ambao wanafanya kazi hata za ufagizi. Immigation imeamua kula pesa zao na kuwapa working permits kama njugu. ukisoma hizo kazi ambazo wameingia nazo, utaambiwa ni wataalam wa IT kumbe ni clerical jobs tu ndo wanakuja kufanya. Vijana chungu nzima wanaishia mitaani kusaga soli na kujiingiza ktk kazi haramu (umalaya) na madawa.
Kwanini Wizara isiunde task force itakayotembelea makampuni yote hayo na kutathmini hali halisi ya waajiriwa waliomo humo?
sasa hivi wahindi weusi wamejazana ktk makampuni hayo kuliko hata idadi ya watanzania wenyewe, ukiuliza unaambiwa wako cheap na ukiwatisha nyau wanaogopa kama fisi maji. kwa hiyo ni easy to control them.
hata passport zao zinashikiliwa na mwajiri.
Yote haya wizara wanafahamu vizuri sana lkn waone walivyopiga kimya!
CDM chukua nchi tuweke mambo sawa, vijana wapate ajira.
Hilo nalo neno. sisi watz hatujiamini kabisa. unapata ajira lakini bado unahisi kama vile ni favor tu kumbe qualifications zako na competence yako ndo imekupa job. matokeo yake unashindwa kufuatilia haki zako za msingi kwa kuogopa kuwa utamuudhi mchinja mbwa!Unajua ndugu yangu hata wakija CDM kama sisi pia ambao tunanyanyaswa hatutabadilika kifikra. Nchi za wenzetu mtu akiona kitu fulani kinafanyika kinyume cha sheria anakuwa tayari kukisimamia na hata kutoa ushahidi. Tatizo letu hatutoi ushirikinao wa kutosha kufanikisha haya mambo na wengi tumekata tamaa kuwa hata nikisema hakuna linalofanyika. No tafiti peleka taarifa panapohusika, ukiona kimya kumbushia ua nenda ngazi nyingine, utapata tu mhusika kati ya kumi mmoja mwenye hamu na hizo taarifa na kazi itafanyika.
Unajua ndugu yangu hata wakija CDM kama sisi pia ambao tunanyanyaswa hatutabadilika kifikra. Nchi za wenzetu mtu akiona kitu fulani kinafanyika kinyume cha sheria anakuwa tayari kukisimamia na hata kutoa ushahidi. Tatizo letu hatutoi ushirikinao wa kutosha kufanikisha haya mambo na wengi tumekata tamaa kuwa hata nikisema hakuna linalofanyika. No tafiti peleka taarifa panapohusika, ukiona kimya kumbushia ua nenda ngazi nyingine, utapata tu mhusika kati ya kumi mmoja mwenye hamu na hizo taarifa na kazi itafanyika.
I stand to be corrected, kwa uelewa wangu ukiajiriwa sekta binafsi, moja na ukuwa na mkataba na mwajiri, humo mambo yote ya msingi kwa maana ya kanuni za kulinda ajira yako na utendaji wako zitakuwa zimeainishwa na siku zote huo ndio mwongozo wako. Ni mikataba hiyo hiyo kama mtumishi is not delivering itatumika kumwondoa kutoka kwenye nafasi yake.
Ni mikataba hiyo hiyo inatakiwa kumlinda mtumishi pia kupata haki zake zikiwemo hizo za overtime n.k sasa kama haitekelezwi hivyo, unatakiwa kuhoji kwa nini? kama hilo haliwezekani unaweza kupeleka malalamiko rasmi kwenye mamlaka husika. Serikali haiwezi kufanya ukaguzi kuona kama watumishi wanalipwa overtime au la! tunatakiwa kuwajulisha ili waweze kuwa na mahali pa kuanzia kuhoji au kufanya utafiti. Kwa amoni yangu nadhani tusikae kimya kusubiri serikali ije kuona matatizo watumishi wanayopata, peleka taarifa ili serikali ifanye uchunguzi.