Mabadiliko ya katiba [wasiwasi wa katiba kutungwa bila kuzingatia maono ya wengi] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko ya katiba [wasiwasi wa katiba kutungwa bila kuzingatia maono ya wengi]

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ABBY MAGWAI, Jun 15, 2012.

 1. A

  ABBY MAGWAI Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikipata shida kuamini kama mifumo ya kukusanya maono ya kuunda katiba mpya ya nchi yetu itafuatwa kwa kuhakikisha kila mwananchi anafikiwa.
  wasiwasi mkubwa ni kwa vipi mwananchi aliye kijijini ata shiriki.
  je kutakuwa na makongamano ,warsha, au mikutano ya ndani? bado ,napata tatizo kujirizisha ktk hilo .naogopa ikiwa kweli tume hiyo itathibitisha kwamba itapta maoni ya jkila mtanzania labda tusubiri tuione .
   
Loading...