Lusinde: Mimi mbunge nina laini moja, 'Mama Ntilie' ana laini nne za nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde: Mimi mbunge nina laini moja, 'Mama Ntilie' ana laini nne za nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kijana Msomali, Jun 14, 2012.

 1. K

  Kijana Msomali Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Akihojiwa na Mtangazaji wa TBC1 Victoria Patrick nje ya ukumbi wa bunge hapa Dodoma, Mbunge Lusinde amesikika akisema hayo yafuatayo.

  " Mimi Mbunge nina Laini Moja, Mama Ntilie ana Laini Nne za Nini???

  It was very sad to hear cheap argument from politician. Any ways huyo ndie Lusinde...Kudadadeki!!
  !!!!!!
   
 2. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sasa Jamani! kuna wabunge wa kuwajadiri, Hata Lusinde?
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  Lakini si kweli?
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280
  ...akili nyingine...
  Hakuna asiependa kumiliki laini 1, hajui kuwa watu wanaepuka gharama!!
   
 5. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,920
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ana laana ya Malecela hawezi tajirika kamwe
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  [video=youtube_share;rhl78_cPVH4]http://youtu.be/rhl78_cPVH4[/video]
   
 7. r

  richone Senior Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  lusinde hajitambui> mtu kumiliki line mbili au tatu za simu n kwa lengo la kupunguza gharama. hata kabla lusinde hajapata ubunge alikuwa ana miliki simu zaidi ya moja.
   
 8. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni maneno aliyotumia kujitofautisha na mama ntilie.......hapo ni kuweka tabaka la mimi mbunge/mwenyenacho nina, kwanini wewe uwe na?
  read btn the line brother
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Naomba kuuliza, huyu Lucinde ni mtoto wa Balozi Lucinde?
   
 10. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kha huyu jamaa karudi tena??

  nahisi huyu ndo atakua katibu mwenezi baada ya NEPI kuvua gamba
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,943
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  hapo amejitanabaisha ya kuwa; Mama Ntilie ni mvuja jasho na yeye ni mvuna jasho!
   
 12. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kwanini LEMA hajachukua hatua za kisheria dhidi ya Lusinde? au kuna ukweli?
   
 13. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  sio mtoto wa Balozi Lusinde.
   
 14. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,555
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  No!Nakumbuka Le Mutuz alishawahi kuelezea hilo humu kwamba Lusinde(insane) hana uhusiano kabisa na Lusinde(balozi)
   
 15. N

  NURFUS Member

  #15
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lusinde, me nafikiri huyu si mtu wa kujadili maana sijui kama anajua alichokisema, kuwa na line moja anafikiri ndio kuishi kulingana na hali, wakati wao wanashabikia kupanda kwa gharama za kuzungumza, na ninashindwa kuelewa wale tunaofikiri ni kioo cha jamii kumbe wanakuwa uchafu kwa jamii kwa maneno yao wanayoongea bila kuyapangilia, au alikuwa hajui kama anaruka hewani, eti mimi mbunge nina line moja mama ntilie ana line zaidi ya mbili, kwamba yeye mwenye nacho na yule asiye nacho, eti watanzania tuishi kulingana na hali,lkn pia viongozi wetu u have to think b4 u lip and learn to behave mbele ya macho ya watanzania.
   
 16. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Wa pembeni au kusingiziwa labda!!!!
   
 17. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapo ukweli ukwapi, na wewe uwezi kuwa great thinker kabisa. Kwa mfumo wa gharama za simu Tanzania inapelekea kumiliki line zote ili kupunguza gharama zisizo rasmi. Au ndo nyie mnaojisifu napiga mtandao wowote kwa line yangu moja bila kujumlisha na kutoa. Kweli watanzania bado sana...........jamani elimuuuuuuu
   
 18. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,611
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  Yeye fisadi hata akiweka laki tatu kwenye simu kwa wiki ni sawa
   
 19. M

  Moony JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kumjadili mnampa umaarufu bureeeeeeee!
   
 20. U

  UTAJUA Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah huyu jamaa si mbunge wa CCM? au wa NNCR?.. maana hapo sioni kaongea nini?
   
Loading...