Watanzania MSIDANGANYIKE, kuweni na MSIMAMO

UTAJUA

Member
Apr 4, 2012
68
17
Ndugu Watanzania hasa waislamu, napenda kuwashauri sana MSIDANGANYIKE na upepo unaovuma sasa wa Dini:
1. Mara Uamsho wa Kiislamu
2. Mara waislamu kugomea Sensa
3. Mara waislamu wanaonewa
4. Mara Amiri Mkuu wa Waislamu
5. Na mengine mengiiii....

Nawashauri watanzania Muwe makini, msidanganyike kwani hamtapata faida yeyote (Personaly) na hat familia zenu.

Bora mjipange kwa kupinga Ufisadi na Msuport MAENDELEO ya NCHI.
 
Wangegomea Uchaguzi mkuu mambo yangekuwa powa sana coz hawa jamaa ndo mtaji mkubwa wa magamba!

Wewe hata huelewi anaongelea nini mwenzako. Kila wakati kulalamika. Chapa kazi kijana maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.
 
Ushauri wako ni mzuri ila hawatauzingatia, kuuzingatia kutasababisha wasipate tena misaada ya tende..!
 
Wamezoea kutumika toa enzi ya utumwa hadi kuanzisha CUF, leo CUF wamerubuniwa kirahisi na CCM wakakubali kisa Makamu wa pili wa rais.Sasa CCM kageukia jumuiya yake BAKWATA anawatumia bila kujijua.poleni ba ndugu
 
Wewe hata huelewi anaongelea nini mwenzako. Kila wakati kulalamika. Chapa kazi kijana maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

Kumbe maendeleo yanaletwa na nani? Kama siyo viongozi waadilifu wanaotokana na vyama vya siasa? huyu jamaa mimi huwa simwelewi kabisa, sijui kama anaielewa hata katiba ya nchi hii inasema nini, ili tupate viongozi ambao ndiyo wataunda serekali itakayoleta maendeleo ya kweli ni lazima watokane na vyama vya siasa vilivyopo kisheria ndivyo katiba ya nchi hii inasema au unataka kuvunja katiba?
Maendeleo yataletwa na uwepo wa,
1.Ardhi nzuri
2.Siasa safi', inayotokana na vyama vya siasa pamoja na,
3.Viongozi bora.
 
Back
Top Bottom