CCM wapewe miaka mingine ya Kuleta mabadiliko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wapewe miaka mingine ya Kuleta mabadiliko?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by UTAJUA, Jun 15, 2012.

 1. U

  UTAJUA Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF, kwa matazamo na hali inavyoonekana sasa Asilimia kubwa ya Vijana, Wasomi, Wakulima, Wafugaji, Wavuvi, Wafanyakazi, Watu wazima na hata Watoto wa Tanzania wanasema Wamekata Tamaa na Chama tawala kama kitaweza kuwakomboa kwenye Dimbwi la kurudi nyuma kimaendeleo na Umaskini.

  Mfano:
  Wakulima: Wanasema pembejeo hazipataikani, na hata zikipatikana ni feki na nyingine zimekachakaliwa tayari, mazao bei ni ndogo na hakuna usimamizi mzuri juu yao.'

  Wavuvi: Nao wanalia hakuna msaada kwao
  Walimu: Malimbikizo ya mishahara na posho za kujikimu ndio husiseme
  Wafugaji: Madawa ya mifugo juu, Vyuo vya mifugo (Uchunguzi mpya wa matibabu kwa mifugo hakuna) n.k

  Wachimbaji wadogo wadogo: nao lawama tele
  Wasomi: Hajira inasumbua kidogo

  Wazee: Mahospitalini bado wengine wanalazimisha kulipia Huduma za Afya
  Watoto: Utapiamlo kutokana na lishe bora hakuna

  Nawashauri Chama Tawala kujaribu kuangalia wapi wamekosea au wafanye nini kurudisha TUMAINI la Wananchi kwao.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  naona wapewe tuu
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:

  hebu viangalie bila kufumba macho kama dakika tano halafu nipe jibu
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  post yako imenisababishia kichefuchefu bana.
   
 5. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thuuuuu- thuuu-butuuu. Wangeanza kuonesha mfano katika bajet hii
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sasa kama wameshindwa yote hayo ndani ya miaka 50, je unashauri waongezewe miaka mingapi? Je kama kuna chama kina uwezo wa kurekebisha yote hayo kwa muda mfupi zaidi kuna sababu gani ya kuwang'ang'ania hao ccm? Isitoshe viongozi wa ccm wanaonekana wamelewa madaraka ndo maana ndo maana hawatimizi ahadi zao kwa zaidi ya 90% na uongo ndiyo silaha yao kwa wananchi ikishindikana wanatumia nguvu, nadhani ccm ni chama kisichokuwa na uwezo wa kuwaongoza wananchi walioelimika kama waTz wa sasa!.
   
 7. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hapo juu uliandika vizuri ila hapa chini ukamalizia vibaya. Husirudie tena kosa hili.
   
 8. kekuwetu

  kekuwetu JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 327
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  majibu yote unayo kwamba ccm imeshindwa kabisa kuongoza sasa sijui ushauri unautoa wa nin na unampa nani au nani anataka kuusikiai, ccm imeshindwa kipindi cha babu yangu, ikashindwa pia kipindi cha wazazi wangu, ikaendeleza uzembe wake kipindi changu, sasa siwezi niwaache waendeleze uzembe wao mpaka kwa watoto wangu, huo ushauri wako uandike kwenye karatasi alafu uende choo cha shimo kuutupa. yaani umeniudhi wewe hata siwezi kula tena
   
Loading...