Kamati ya bunge ya huduma za jamii yaridhia bajeti ya Wizara ya Afya

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Baada ya majadiliano ya siri hatimaye kamati ya bunge ya huduma za jamii imenywea na kuikubali bajeti ya wizara ya afya.

Kilichotokea siku chache zilizopita kinawezekana kuwa ni kiini macho tu au ikawa ni njia ya wanakamati kujipatia kipato.

Baada ya tamko la kamati lililopinga bajeti hiyo,wizara ya afya ilianza kufanya marekebisho ya bajeti yao na kuelekeza hela nyingi kwenye dawa lakini baada ya kamati 'kuwekwa sawa' mchakato huo umesitishwa ghafla.

Kazi kwenu wabunge...
 
Back
Top Bottom