Mpango wa kuimarisha Kilimo, Uvuvi, na Ufugaji kama dhana ya kupunguza mfumuko wa bei

kupelwa

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
1,087
450
Kutokana na takwimu za bajeti serikali imetenga bajeti ya kiasi T.shs.bilioni 192.2 ili kuongeza upatikanaji wa chakula katika kupunguza mfumko wa bei.

Je, mkakati huu utaweza kutosheleza mpango wa muda mfupi na mrefu kurekebisha tatizo la upungufu wa chakula ambao ndo umeongeza mfumko wa bei kwa kiasi 24.7% ili kurudisha kwenye tarakimu moja?

Hapa kuna mkakati wa serikali kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji, kilimo kwenye mabonde ya kilombero na maragalasi. Je, kwa fedha hiyo si ndo za wasira kuropoka hovyo uwanja wa mkakati wa kujaza watu?

Huu si mkakati wa kuongeza mfumko wa bei na kuongeza umaskini kwa wananchi walio wengi sababu kilimo ndo kinajiri idadi kubwa ya wananchi
 
Back
Top Bottom