Data base ya michango mahiri Bungeni

step

Senior Member
Jun 4, 2011
190
75
Ndugu zangu wana JF kwa kuwa wengi ni wepesi kusahau pengine ni vizuri sasa kuweka kumbukumbu ya michango iliyokwenda shule katika Bunge letu(of course kwa kura) ili tuwe objective katika kuwatambua wabunge wazuri sio wale wadandiaji wa hoja kv akina fulani mnawajua walio na uwezo wa kuzungumza kwa sauti kubwa pumba nyingi...au kuunga mkono hoja kwa sauti kubwa saana
 
Unatoa kashfa au unatoa pendekezo? Jaribu kuwa makini
 
Back
Top Bottom