Nyuso za "Ukisusa Wenzio Wanakula" katika kikao cha leo cha cabinet, ambacho Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ndio mlolongo wa uongozi wa taasisi hiyo kwa mujibu wa Katiba, ambayo pia inamtaka Rais wa Zanzibar ahudhurie. Japo huwa hajisumbui. Akichelea kuonekana ni Waziri, kitu ambacho amekipinga vikali.
Je ni wakati wa kila upande wa Muungano kuwa na cabinet yake kivyake?