Harambee au rushwa kwa jamii toka kwa mafisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harambee au rushwa kwa jamii toka kwa mafisadi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAMA POROJO, Jun 15, 2012.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  [​IMG]  Waaziri mkuu aliyetuhumiwa kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa akimshika mkono mwakilishi wa kampuni ya Home Shopping Centre, Madiha al Harthy baada ya kutoa mchango wa shilingi 22,000,000. Kinachogomba si kutoa au kutotoa. Je wahusika wanalipa kodi vilivyo? Je kwanini akina Lowassa hawataki kuacha mambo yanayotuhujumu kama kupokea malipo ya ustaafu wakati hakustaafu? Kwanini tumeligeuza taifa letu kuwa la harambee.

  SOURCE: mpayukaji.blogspot.com
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  kazi sana...ndio shamba la bibi hilo kila mtu anakula navyotaka bwana
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hivi hizi hela ni za kwake au ana taasis yake ya kutoa misaada
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  yaani jamani mie ningepewa rungu la kuwashugullikia hawa washenzi,siju hata ningewafanyaje!!!ila Mungu anayaona yote.na watalipa hapahapa duniani.ngoja sie tuumie maana zamu yao ikifika watajuta kuzaliwa.
   
Loading...