Magufuli & CCM angalieni hapa, kisha mjilinganishe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli & CCM angalieni hapa, kisha mjilinganishe!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hute, Jun 9, 2012.

 1. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  Hivi vitu vinafanyika na nchi ya Ethiopia, vyote hivi viko under construction, sio proposed kama vilivyopo hapa Tanzania.

  Bwawa la kwanza litakuwa na megawatts zaidi ya 5,000, lingine ni megawats zaidi ya 1,800, alafu angalia barabara flyovers hizo,....

  Hizo nimechukua chache tu, bado barabara kubwa za hela nyingi wanaunganisha na Kenya, na reli mpya inaunganisha na Kenya.

  Pia wanachimba gas na kufaidia nayooo..... East Africa na Horn of Africa yote watz peke yetu ndo tunasuasua na kuwa nyuma, wengine wote wanapambana na backwardness kufa mtu.

  ...tuone aibu, na viongozi wetu waone aibu!

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  hapo kuna mabwawa mawili tofauti, moja lina zaidi ya 5,000 MW na lingine ni zaidi ya 1800MW. hizo barabara ni mbili tofauti na picha iyo moja hapo chini ni ya google earth kuonyesha kuwa tayari zilishaanza kujengwa....ccm watajilinganisha na hawa jamaa waliokuwa kwenye vita miaka nenda rudi?
   
 3. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  source, go to skyscrapercity
   
 4. U

  UNO Senior Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu Maghufuli/CCM watupe plan yao au michoro ya jinsi gani wamepanga kuondoa msongamano Dar? Kuna wakati wasomi wa Ardhi University walitoa pendekezo kwa michoro jinsi ya kutatua masongamano, but I am sure waliitupilia mbali...
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Upembuzi yakinifu unaendelea!majibu rahisi rahisi
   
 6. n

  nyandaojiloleli JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  akina Magufuri na ccm yao ni wazee wa porojo tu hakuna lolote.
   
 7. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  ccm, hakuna cha mwakyembe wala magufuli, yaani walipokuwa wanaongea pale jangwani, nilikuwa natamani kupasua tv jinsi wanavyojisifia kutengeneza barabara ili chadema waandamane kwenye lami....

  foleni kwa wale wanaotoka kimara wanaelewa jinsi mateso yalivyo, hadi imefikia wafanyakazi wanatamani kuhama dsm wakafanye mkoani ili kupunguza garama ya maisha na msongo wa akili kutokana na kuchoka kwanza na safari, foleni, kazi ofisini n.k....toka posta hadi ufike home hata hamu ya kukumbatia watoto wako huna..

  hata ukiwa na gari wese linaishia kwenye foleni.....afu mtu anakuja kubwabwata tu hapo jangwani....hii ya ethiopia iko under construction, meres zenawi haongei sana kama ccm, yeye ananyamaza tu pamoja na kumtukana kwingi, anafanya kwa vitendo....zote hizo hapo juu wanajenga na karibia watamaliza....
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu naona unacompare machungwa na maapple.

  Nafikili si sahihi kufananisha nchi masikini na tajiri.
   
 9. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Tusali sala ya matumaini "Mungu wangu natumaini kwako nitapewa kwa njia ya Yesu Kristo neema zako hapa duniani na utukufu mbinguni kwani ndiyo uliyoagana hayo nasi naninayoamini amina.
   
 10. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  unaniumiza moyo tu! hivi hii ni africa hii hii ambamo na tz imo kweli? nasikia uchungu kwa jinsi ccm inavyotuchelewesha maendeleo. tukiwang'oa hawa wapinzani waweza fanya haya kwani hata nchi za wenzetu sio vyama vya ukombozi vilivyofanya mapinduzi ya jinsi hii.aibu yetu, aibu ya ccm.
   
 11. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  bro, hii siyo ulaya, ni africa hapahapa, ni ETHIOPIA nchi ambayo haiko mbali sana na bongo, walikuwa kwenye vita miaka kibao, lakini wanafanya haya, wako serious...ndo maana kagame alisema kama angekuwa rais wa tz angaifanya tz ulaya....wenzetu wangekuwa hapa wangekuwaje sasa....hii ni ethiopia, pale addis ababa...
   
 12. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Magufuli anachojua ni kukariri barabara tu,leo wamejidhalilisha kweli hawajaona mtwara watu wanagombea cadi za cdm leo hii kuna mtu wa kuirudisha,wamekosa ubunifu
   
 13. R

  RMA JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli Ethiopia ni nchi tajiri??? Kama huna cha kuchangia si ukae kimya???
   
 14. y

  yohane Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wote wagonjwa ndio maana uhalisia ni mdogo.
   
 15. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Mkuu sina nyongeza, ila tuwe wavumilivu maana yapo katika ahadi 2010-2015
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  naomba kujua upeo wako wa elimu mkuu!ethiopia ni nchi inayotegemea ufugaji wa mbuzi,na usafiri wa anga kila mwaka hukumbwa na ukame!tanzania ni ya 2 kwa utajiri wa asili baada ya DRC ktk africa au dunia
   
 17. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Watanzania kabla ya kufikiria hayo yote wanahitaji ukombozi wa kifikra kwanza wajue maendeleo ni nini! yanapatikanaje! nini haki na wajibu wao? nini kazi za viongozi na wajibu wa raia wa kawaida then how to make devolopment sustainable kutoka hapo ndio uanze kujenga hayo ma complex yako!!
   
 18. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  magamba hadi kwenye ubongo! hakuna mwenye uwezo wa kufikiri hivyo.
   
 19. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wafa MAJI nyie, tulitegemea mtasema hivyo!
  Msirudie kumshika BABA YENU sharubu
  Nyambaf uuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
   
 20. B

  Buto JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri
   
Loading...