Mrithi wa Kikwete 2015 CCM Atakuwaje?

UTAJUA

Member
Apr 4, 2012
68
17
Najaribu kutazama CCM mrithi wake atakavyokuwa, kwani Maskendo ni mengi, Habari za Ufisadi ni nyingi, Sheria zimepindishwa kidogo, Hospitali bado madawa hakuna...Yaani wananchi wameshakata tamaa.

SWALI: Huyo mrithi Atawabadilisha vipi Wananchi mpaka Wamuelewe na CCM?
 
Eh hivi bado kunaviumbe wanawaza ccm kuwa madarakani 2015? pole zenu.
Endelea kuwaza siyo mbaya katiba inawaruhusu.
 
Hilo siyo la kuuliza kabisa
hakuna mtu atakeye pitishwa na ccm akawa fanya wanachi wailewe ccm kuwa italeta mabadilko kwa wananchi.
Kwa sababu ya nguvu ya pesa wata mpitisha
mwaaa,mwaa,mwa,mwaaaa
mwamba wa kaskazini,baba lao ,asiye gusika ndani ya ccm.

si mwingine ni LOWASA.

Huyu ndie mrithi wa jk na hata hitaji kupitishwa na NEC ya ccm ni lazima awe mrithi wa jk
Chezeaaaaaaaaaaa lowasa weeeee .
Na hii ndio tiketi ya cdm to magogoni na hili wana ccm wote wanalitambua.
 
namtaja rais wa tanzania 2015.naye ni mzalendo,mchapakazi,mchukia rushwa,mpenda haki na huyu ni mtanzania halisi.
 
Katika CCM hakuna kama Lowasa. Hao wengine ni CCJ na CDM na wataondoka tu, na kumwachia mwenye chama. Hiki chama kina wenyewe. Usione kinaelea kimeundwa. Unafikiri watu wanakutana barabarani tu na kuunda chama.
Hata CDM ina wenyewe (Umma).

Changanya na za kwako.
 
najaribu kutazama ccm mrithi wake atakavyokuwa, kwani maskendo ni mengi, habari za ufisadi ni nyingi, sheria zimepindishwa kidogo, hospitali bado madawa hakuna...yaani wananchi wameshakata tamaa.

Swali: Huyo mrithi atawabadilisha vipi wananchi mpaka wamuelewe na ccm?

freemason
 
katika ccm hakuna kama lowasa. Hao wengine ni ccj na cdm na wataondoka tu, na kumwachia mwenye chama. Hiki chama kina wenyewe. Usione kinaelea kimeundwa. Unafikiri watu wanakutana barabarani tu na kuunda chama.
Hata cdm ina wenyewe (umma).

Changanya na za kwako.
freemason
 
Mi naona hii miaka mitatu iliyobakia amwachie Mkapa amsaidie kuimalizia. maana akiendelea hadi 2015 wengi tutakuwa tumeangamia kwa umasikini.
 
Najaribu kutazama CCM mrithi wake atakavyokuwa, kwani Maskendo ni mengi, Habari za Ufisadi ni nyingi, Sheria zimepindishwa kidogo, Hospitali bado madawa hakuna...Yaani wananchi wameshakata tamaa.

SWALI: Huyo mrithi Atawabadilisha vipi Wananchi mpaka Wamuelewe na CCM?

nafasi ya kufanya hayo hatuwapi tena, tufanye mabadiliko ya kweli ktk taifa hili.
 
Inawezekana majibu yote yakawa sawa au la. Unamaana mrithi kwenye nafasi ya urais au kama mwenyekiti wa CCM. Matamanio ya Kikwete ni kupata mtu atakayemlinda yeye, Riz1 na Salma kwenye rundo la tuhuma linalowakabili.
 
Najaribu kutazama CCM mrithi wake atakavyokuwa, kwani Maskendo ni mengi, Habari za Ufisadi ni nyingi, Sheria zimepindishwa kidogo, Hospitali bado madawa hakuna...Yaani wananchi wameshakata tamaa.

SWALI: Huyo mrithi Atawabadilisha vipi Wananchi mpaka Wamuelewe na CCM?

Hapo ndio kwenye Mtihani.

Samwel sitta will do. akinyimwa atakuaj CCK.

Akipewa Lowasa Nape atakuja CDM.

Yaani rahaaaaaaa.
 
Jamani mbona mnamsahau bwana mkubwa nani huyuuuuuuuuuuuuu? WASIRA....eeee WASIRA. huyu ndie atakuwa mrithi wa JK maana amejipendekeza vya kutosha.
 
sio rais ajae, ni kiongozi wa nchi (mpito) ajae ni MWAMUNYANGE. Kwani hujui jeshi ndo litapanga tarehe nyingine ya uchaguzi!
 
Back
Top Bottom