Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza heshima kwenu madaktari wote na pole kwa majukumu yenu ya kudai haki zenu.Najua hamko vizùri kisaikolojia kútokana na kamanda wenu kùharibiwa maisha yake na watu wadharimû wasiolitakia mema...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
MSAFARA wa Rais Jakaya Kikwete uliokuwa ukielekea Bagamoyo jana ulilazimika kusimama kwa muda baada ya kuzuka kwa vurugu kubwa za kurushiwa mawe katika eneo la Namanga Tegeta Manispaa ya Kinondoni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Saluti kwa wana jf wote. Wakuu ni siku nyingi sijamsikia mpambanaji EL, nini kimemkumba? Huyu bwana pamoja na makashfa yaliompata hadi kujiuzulu, alikuwa bora kuliko Pinda. Nina kila sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Katika nchi yeyote duniani serikali ndiyo yenye jukumu la kuweka mazingira mazuri katika hospitali za umma na kuhakikisha kuwamadaktari na wafanyakazi wa afya wanafanya kazi yao ya kutibu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika tafakari yangu nimegundua kuwa Kikwete yeye si dhaifu ispokuwa sisi watanzania ndo tunapaswa kjilaumu kwa udhaifu na unafiki wetu Nasema hivi kwa maana hii; awamu ya kwanza ya uongozi wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWAMBA wazamiaji 45 kutoka Ethiopia wamekufa na wengine 72 wako mahututi kutokana na kukosa hewa wakiwa katika lori mkoani Dodoma ni habari ambazo bila shaka zimewasikitisha wananchi wengi. Maiti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Polisi mmoja wa kikosi cha FFU ameuliwa wakati wengine kadhaa wamejeruhiwa vibaya leo na raia wenye hasira maeneo ya Tegeta Namanga. Pamoja na skari, kuna raia wawili pila waliouliwa na askari hao...
6 Reactions
95 Replies
8K Views
Mwezi mmoja tu hivi baada tu ya kuingia madarakani, mapema 2006, kulitokea mauaji ya wafanyabiashara wa madini wa Mahenge uliofanywa na polisi ambao walidai ni majambazi. Baada ya kusikiliza kilio...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimechukizwa sana na kauli ya Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Kassim Majaliwa. Majaliwa, kiongozi wa zamani wa CWT amesema kuna kikundi kinaeneza propaganda za kuhamasisha Walimu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
:israel: "Ninawashukuru madaktari wote nchi nzima, wauguzi na wafanyakazi wa sekta ya afya kwa ujumla wao kwa kusitisha huduma baada ya kupigwa mwenzetu. Tunaomba mshikamano huu uendelee," alisema...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Bf kat ya magharib na iran kuhusu mpango wake wa nyuklia ipo waz paka iran kufikia hatua ya kuchoma bendera ya uingereza pamoja na kufukuza mabaloz wa uingereza,URUSI pekee ndiyo mtetez wa nch za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana Naibu Waziri wa Elimu Kassim Majaliwa katika kujibu HOJA iliyoulizwa na JENISTA MHAGAMA aliyetaka kujua ni ni hatua gani SERIKALI inachukua ili kuepusha MGOMO wa WALIMU ambao kwa sasa...
1 Reactions
2 Replies
803 Views
Wanajamvi: Nimekuwa kwa muda mrefu nafuatilia sasaka hili la Dr Ulimboka na kuundwa kwa Tume ya polisi kulichunguza. Wengi wanaona tume hii haitafanya haki kwani polisi, au vyombo vingine vya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuna watu,viongozi na wengineo,wengi sana tunaowachukia. Wanatuibia,wanatudhulumu,wanatufunga,wanatuonea,wanatunyanyasa,wanatupiga,wanatuua na wanatudharau. Tunawajua kwa sura na majina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kamanda wa UVCCM, Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani, Aida Mtei (pichani) amefariki dunia. Mipango ya Mazishi inafanyika Nyumbani kwa wazazi wake Mbezi kabla ya Rembow. MAITI YA MAREHEMU LEO...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
TMJ,Regency,Aga khan,CCBRT,Hindu mandal na lugalo ya jeshi. pia serikali imeweka mkazo na kuongeza nguvu katika hospitali za mwananyamala,temeke na Amana. Pia madaktari wastaafu na wale waliopo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nadhani na nitaendelea kudhani kuwa bw JK alidhamiria sana kuingia ikulu but ninachodhani mimi nikua hakua amejipanga yakua akiingia ikulu ataifanyia nini tanzania matokeo yake amekua akidandia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hayawi hayawi yamekuwa mwana wa nchi kaamua serikali iko kimya bunge kimya mahakama kimya sasa wananchi wanatenda ndio kauli yake nami mwanaharakati huru na muunga mkono ntaandamana. Yote kwenye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika gazeti la Tanzania Daima la leo kuna habari hiyo. Hapa napata maswali mengi kiliko majibu. 1.kwa nini kiasi hicho kisitumike kutekeleza madai ya madaktari na kutanzua mgogoro huo...
2 Reactions
76 Replies
5K Views
alitekwa akiwa na baadhi ya watu, maelezo yanasema waliambiwa waondoke na wanamtaka Dr ulimboka. swali je waliokuwepo baada ya kuona purukushani zile hawakupiga kelele, hawakuita watu wa jirani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…