Pongezi Kwa WILLIAM MALECELA kwa Kuchaguliwa kuwa Mwakilishi wa Wazazi kata ya Kivukoni

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

LEO NIMECHAGULIWA KUWA MJUMBE WA KUWAKILISHA WAZAZI WA KATA YANGU KIVUKONI, KWENYE MKUTANO MKUU WA MKOA NA PIA KUWA KATIBU WA ELIMU, MAZINGIRA, NA PIA KATIBU MWENEZI WA KATA YA KIVUKONI, AMBAYO INAHUSISHA HATA IKULU NA VIONGOZI WENGI WAKUU WALIOPO MADARAKANI NA WALIOSTAAFU, AMBAO WENGI WAO WALIKUWEPO LEO NA WAKANIPA KURA ZAO; MY CAMPAIGN WAS GREAT NA NAWASHUKURU WOTE HASA FB PEOPLE KWA YOUR PRAYERS; IN TWO WEEKS NITAINGIA ULINGONI TENA KUGOMBEA UPANDE WA CCM PIA: LOVE YAH SANA PEOPLE NA KIDUMU CCM!! - Le Mutuz!!

Ama kweli huyu jamaa anazeeka vibaya ,tubu uende mbinguni,yaani umeezeeka lakini akili za kitoto kweli
 
Swali ambalo huwa najiuliza kwa nini watu ambao wana nafasi ya kusimama wenyewe katika maisha wanahangaika na kutafuta kwa udi na uvumba nafasi za uwakilishi? Kuna nini huko? Ulaji?
 
Swali ambalo huwa najiuliza kwa nini watu ambao wana nafasi ya kusimama wenyewe katika maisha wanahangaika na kutafuta kwa udi na uvumba nafasi za uwakilishi? Kuna nini huko? Ulaji?
cheo kina raha yake mkuu na kutufuta umaarufu kwa nguvu zote
 
Si kunakiupindi niliskia akisema ni mkazi wa segerea, naalijindaa kugombea jimbo iwapo makongoro angeshindwa kesi
 
Duh jamaa yetu anapigana kila mahala. Leo tena anasema Kivukoni ndiyo kata yake wakati juzi tu hapa alisema yupo kata ya Segerea!

Kumbe kwenye siasa unatakiwa kuwa Abdallah Nyumbanyingi. Kila mahala weka makazi ukisikia kna nafasi ya kisiasa unasema hapo ni kwako unagombea maisha yanasonga mbele. Anyway namtakia kila la kheri katika safari yake ya kisiasa.

Kata ya Kivukoni ndio ilimtoa Kimbisa kama Diwani na kisha kuwa Meya na sasa ni Mbunge wa EALA. Pia hapo ndipo aliyekuwa Mbunge wa EALA Dr. Masaburi alipogombea UDiwani na kushinda kisha akawa Meya. Mzee cheza kete zako vizuri kwenye Dhumuna unaweza kuingia EALA ama kuwa Meya wa Jiji.

PENYE NIA PANA NJIA. Naona wewe una nia, njia itapatikana tu.
 
Swali ambalo huwa najiuliza kwa nini watu ambao wana nafasi ya kusimama wenyewe katika maisha wanahangaika na kutafuta kwa udi na uvumba nafasi za uwakilishi? Kuna nini huko? Ulaji?
Kuna utukufu huko ndio maana watu wanaweza kutumia mali zao kujiingiza huko.
 
William, naona mambo ya shambani kwako na jimbo lako la Segerea umeacha nalo saizi umejikita Kivukoni.
 
William, naona mambo ya shambani kwako na jimbo lako la Segerea umeacha nalo saizi umejikita Kivukoni.

Mkuu Ritz unalikumbuka lile container la CCM pale Holiday Out? Siasa za kivukoni zilikuwa pale mkuu ila sasa naona ni parking! Kuna jamaa mmoja mjanja mjanja wa town alikuwa akila pale HO tunamwita Mwenyekiti jamaa fitina za siasa za CCM anazijua mwanzo mwisho. Ndio waliombeba Dr. Masaburi. Akina John Jambele aliyegombea Segerea na Makongoro kwenye kura za maoni naye alikuwa akipikwa maeneo yale. Sijui Le Baharia naye amepikwa pale hasa ile ofisi ya pale garden manake baada ya container kuhama mambo yote yapo garden
 
Last edited by a moderator:
Kama sikosei huyu jamaa ana nafasi pia ya kuchaguliwa ndani ya halmashauri ya CCM Taifa, aligombea hivi karibuni tu. Swali ni kuwa atawezaje kuzitumikia nafasi zote hizo kwa ufanisi?? Jamaa ana tafuta umaarufu kwa udi na uvumba. Ana uchu kama baba yake CHIGWIYEMISI!!!!​
 
William ana umri gani na Jumuiya ya wazazi inataka watu wawe wa umri gani?
 
Mkuu Ritz unalikumbuka lile container la CCM pale Holiday Out? Siasa za kivukoni zilikuwa pale mkuu ila sasa naona ni parking! Kuna jamaa mmoja mjanja mjanja wa town alikuwa akila pale HO tunamwita Mwenyekiti jamaa fitina za siasa za CCM anazijua mwanzo mwisho. Ndio waliombeba Dr. Masaburi. Akina John Jambele aliyegombea Segerea na Makongoro kwenye kura za maoni naye alikuwa akipikwa maeneo yale. Sijui Le Baharia naye amepikwa pale hasa ile ofisi ya pale garden manake baada ya container kuhama mambo yote yapo garden

Mkuu Kimbunga nakumbuka sana aisee! yule jamaa ni kweli fitna ya siasa anazijua hata diwani wa gerezani Mchafukoga, mzee mmoja shombe alikuwa mkuu wa mkoa Dodoma yule jamaa alimpigia kampeni sana maeneo ya mnazi mmoja, tatizo la William, mjuaji sana sijui kama watawezana
 
Last edited by a moderator:
Sinauhakika Nape kamwahidi nini kwenye uongozi wa chama ila ulaji wa kiaina hii tunatakiwa tuupige vita kwa nguvu zetunzote. Kuongozwa na "aliens" ni matusi
 
Mkuu Kimbunga nakumbuka sana aisee! yule jamaa ni kweli fitna ya siasa anazijua hata diwani wa gerezani Mchafukoga, mzee mmoja shombe alikuwa mkuu wa mkoa Dodoma yule jamaa alimpigia kampeni sana maeneo ya mnazi mmoja, tatizo la William, mjuaji sana sijui kama watawezana

Mkuu Ritz unamuongelea Saggaf Diwani wa Mchafukoge (90% ya watu wanaoishi Dar hawajui hii kata iko wapi!) ambaye aligombea Umeya na Dr. Masaburi.
 
Last edited by a moderator:
William naambiwa hapa kuwa ulitelekeza Watoto watoto huko Marekeni na Ukashtakiwa,ndo kisa cha wewe pia kurudi huku,sasa wewe unawakilisha wazazi wenye Tabia zipi?

Mkuu mgeni wenu yamekuwa hayo tena? Najua Le baharia atakujibu tu japo naona kama siku hizi ameisusa JF baad ya kuwa watu hawamtendei haki kwa kumshambulia; personal attack badala ya kushambulia hoja zake.
 
Last edited by a moderator:
Kweli watoto wa nyoka ni nyoka!!!amezunguka kooote na kuamua kurudi kwenye si-ha-sa maana ni alisi kwao!hongera Baharia
 
Back
Top Bottom