Sitta, Nape na Mpendazoe CCJ sasa imepata usajiri wa kudumu tutarajie maamuzi magumu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta, Nape na Mpendazoe CCJ sasa imepata usajiri wa kudumu tutarajie maamuzi magumu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DT125, Jun 25, 2012.

 1. D

  DT125 JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Akisoma hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya Waziri Mkuu, Mh Pinda amelieleza Bunge kuwa Chama cha Jamii (CCJ) kimepata usajiri wa kudumu. Sitta na Nape watakuwa tayari kukilea chama hicho ili kama kundi lao wakikosa kupitishwa kupeperusha Bendera ya rangi kijani kwenye kampeni za Urais 2015 wanaweza kujiengua na kujiunga na chama chao au wataweza kuchukua maamuzi magumu ya kujitoa mapema CCM?. Na kwa Mpendazoe atakuwa tayari kurudi kwenye chama chake mapema? Kwani hali yake ya kisiasa ndani ya CHADEMA ni kama inazidi kuwa finyu na kwa sasa ni wazi kuwa uwezekano hata kupitishwa tena kugombea jimbo la Segerea unazidi kuyeyuka.
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  CCJ kwa sasa litakuwa kimbilio la wale wanaokataliwa CDM, Na sidhani kama kitakuwa tishio kama ilivokuwa mwanzo, kwani wengi ya waasisi wake ambao hawakujipambanua wazi, wamepauka kwenye siasa za Tanzania
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  iliyosajiliwa ni CCK (Chama cha Kijamii) na siyo CCJ ambayo ilifutiwa usajili wa muda baada ya zoezi la uhakiki wa wanachama wake waanzilishi kukwama.
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  6 na nape kazi kwao,mpendazoe alisha sepa magamba mda mrefu sana,huyu sio mchumia tumbo kama 6 na nape.wakikaa vibaya hiko chama atahamia lowasa kjabla yao wakose pa kwenda2015.
   
 5. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  watu mnapata wapi haya maneno loh.
   
Loading...