hotuba ya waziri mkuu - niliyoyaona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hotuba ya waziri mkuu - niliyoyaona

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Jun 25, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  [h=6]WAZIRI MKUU PINDA AMEHUTUBIA BUNGE,,,,,,,,,,,,,, KWELI SERIKALI YA CCM INAFANYA KAZI,IMEINGIZA NCHINI MATREKTA 1800 MAKUBWA NA MADOGO 400,TREKTA LINALOUZWA MILIONI 25.2 SERIKALI IMELIPIA NA SASA WAKULIMA WANAUZIWA KWA MILIONI 16,,,ACHENI KWENDA CLUB,KUCHANGIA HARUSI NA KUNUNUA MAGARI YA STAREHE,TUNUNUE MATREKTA TUKALIME[/h][​IMG]


  My take.kama ni kweli haya yamefanyika nchi itajikomboa,lakini kama ni siasa uongo utawaumbua
   
Loading...