Magamba yazidi kuputika Karatu.

Losambo

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
2,612
864
Leo kulikuwa na mkutano wa Chadema Mto wa Mbu. Mkutano huo ukihutubiwa na makamamda Nanyaro, Samson Mwigamba, Amani Gulugwa na wengine wengi, umepeleka kilio tena upande wa Magamba aka CCM baada ya wanachama wake takribani 300 kuvua Gamba na kuvaa Gwanda. Kiujumla mkutano ulikuwa na mwitikio mzuri na mjumbe mmoja wa serikali ya kijiji, mabalozi waliungana na wenzao takribani 300 kujivua Gamba.

Kama hali ikiendelea namna hii, pasipo mashaka 2015 kitaeleweka.

Mto wa mbu 1.jpg

Mto wa mbu 3.jpg

Nawasilisha.
 
Safi sana, Ila sahihisha kwenye heading Mto wa Mbu haiko Karatu iko Wilaya ya Monduli kwa mzee wa Mvi,
 
Saaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiiii! Yan peopleeeeeeeeeeeeeees poweeeeeeeeeeeeer
 
sasa tumeingia rasmi kwa mamvi aka gamba gumu lililomshinda nape na ccm iliyojaa wapuuzi..
 
wakuu
Tumekuwa na mkutano mzuri sana mto wa mbu,zaidi ya wanaccm 300 wamehamia CHADEMA,tumefungua ofisi mbili za kata za Eslalei na Kata ya Mto wa mbu
 
wakuu
Tumekuwa na mkutano mzuri sana mto wa mbu,zaidi ya wanaccm 300 wamehamia CHADEMA,tumefungua ofisi mbili za kata za Eslalei na Kata ya Mto wa mbu

Hongereni sana wanachama 300 si mchezo, lazima CCM kesho ifunge matawi yao yote maana Karatu yote imevaa gwanda.
 
wakuu
Tumekuwa na mkutano mzuri sana mto wa mbu,zaidi ya wanaccm 300 wamehamia CHADEMA,tumefungua ofisi mbili za kata za Eslalei na Kata ya Mto wa mbu

kuna mkutano ulipagwa kufanyika Monduli lakini ukazuiwa na polisi dakika za mwisho kwa madai polisi watakuwa busy na kulinda viongozi wa kimataifa walioenda mbuga za wanyama baada ya kumaliza mkutano uliofanyika arusha..je mkutano huo nilini utafanyika..? naomba jibu kama una taarifaha za mkutano huo...
 
mkuu huu mkutano wa leo ndio ule ulizuiwa na polisi,leo tumefanya na umekuwa na mafanikio sana
 
CCM watakuwa na roho ya Paka, DR SLAA aliacha wanachama wote hao CCM karatu?
 
Back
Top Bottom