Mbunge wangu uliza upewe maelezo ya kutosha kuhusu hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wangu uliza upewe maelezo ya kutosha kuhusu hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungurampole, Jun 25, 2012.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Leo Mh Waziri Mkuu ananguruama naomba uulize Swali jepesi tu- “pesa nyingi (kwa bilioni) zilizokuwa ziende katika halmshauri, taasisi na wizara hazikuenda kufuatana na bajeti ya mwaka jana”.

  Majibu yanatolewa mengi ila hayana mshiko kwani tukiyakubali hayo maelezo ni lazima pia tukubali kuwa basi Bunge la bajeti ni ‘annual ritual’ na hatumaanishi

  Bajeti tunajua ni tafsiri ya mipango yetu kimahesabu. Malezo ya fedha yanakwenda na tarakimu-Kama kweli hayo maelezo yana mshiko
  Tunaomba tupewe reconciliation-tumekusanya hiki, zilizokuwa zipelekwe tupeleke huku tumepeleka hapa na heasbu zibalance ni hio tu.
   
 2. b

  bdo JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  hahaha, kweli kabisa - zilienda wapi? kwa maana tulizisubiri hatukuziona? its just a T-account na balance sheet tunazohitaji, ila nina wasiwasi na Mbuge wako anaweza ogopa kusutwa
   
 3. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ukitilia maanani kuwa bunge la sasa ni la vijembe na kusutana. Ila reconciliation ni muhimu wadai -wasiruhumu kupewa shule za kina Mwigulu bila figures
   
Loading...