waandishi wa habari wazuiliwa kuingia hospitali ya muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waandishi wa habari wazuiliwa kuingia hospitali ya muhimbili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fangfangjt, Jun 25, 2012.

 1. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  kuna tarifa kutoka kwa wafanyakazi wa hospitali zinasema waandishi wa habari wazuiliwa kuingia hospitalini . Haija fahamika alietoa amri ni nani.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  atakuwa Baba Ridhiwani
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mgogoro wa mtu na mkewe usiuingilie
   
 4. a

  afwe JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Sasa kama hujui umbea wa nini?
   
 5. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wanataka nini hao mapaparazi. Waache madaktari wafanye kazi
   
Loading...