Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jun 27, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  [h=6]Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka.
  Taarifa zilizonifikia ni kwamba ACP Ahmed Msangi wa kanda maalum ya Dar es Salaam ataongoza kikosi cha wapelelezi kufanya Uchunguzi wa tukio hilo.
  GET WELL SOON Dr. ULImboka.
  [/h]
   
 2. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kesi ya nyani anapelekewa ngedere.
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,715
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wanafanya uchunguzi wa nini wakati wanajua walichokifanya, shame on you Mwema, shame on you Dhaifu
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Hivi wanafikiri watanzania ni magunia ya sembe??

  Lakini labda sisi ni magunia ya sembe, mbona tumewarudisha mjengoni kwa wingi sana na sasa wanatushughulikia kwa mwendo kasi mtoroko
   
 5. S

  Sessy Senior Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aibu yako mwema unachunguza kivuli chako wara msipoteze hela zetu kuunda kamati kuchunguza kitu kinachojulika au ndio mnatafuta uraji
   
 6. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wamkatili wao, wafanye upelelezi wao!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,865
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahahaahhaaaaa.....hawa jamaa hawana hata chembe ya credibility!!
   
 8. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  uMESHAAMBIWA WENYE UCHUNGU WAENDE WAKAJIFUNGUE HOSPITALI..KWELI HAO NDIO VIONGOZI TULIONAO NNCHINI TENA WANAZUNGUMZA NDANI YA BUNGE SIO VIJIWENI
   
 9. d

  dguyana JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ikipata hata asilimia 35% mwaka 2015 kwenye uchaguzi wa viongozi mi najinyonga..
   
 10. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mbunge wa zamani wa Shinyanga mjini LEONARD DEREFA alipendekeza bungeni jeshi la polisi libinafsishwe.
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  watawabambikizia kesi watu wengine wakati wao ndio wahusika
   
 12. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,369
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ... Uchunguzi si ulimalizika pale LEADERS CLUB!!!?
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Msikilize Kova anavyomtetea yule jamaa aliyekutwa eneo la tukio, eti alikua ni mtu wao wa upelelezi...jeshi la polisi hili la bongo lipo sharp kiasi gani kutambua crime scene haraka hivyo
   
 14. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  huu usanii mkubwa sana. movie inaanza
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,203
  Likes Received: 3,170
  Trophy Points: 280
  Wajeruhi wenyewe na kuchunguza wenyewe!! CCM bana, mnazidi kukipoteza chama chenu kwa huu ukatili wenu. Hope mkitoka madarakani tutaweza kuwa na Independent Police Complaining Commission kama nchi zilizo na demokrasia
   
 16. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  T P D F Dhaifu
   
 17. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,363
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  waende zao uchunguzi gani wataojifanyia, washenzi hawa, we selikali nzima imewashinda kutafuta suluhu na madaktari eti wanaenda mahakamani, kwani mahakamini na misheria yao ndo wanajua uchungu na ugumu wa kazi?
  MTATUFANYA KUWA WAJINGA KWA MDA ILA HAMUWEZI KUTUFANYA KUWA WAJINGA MILELE
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Liwalo na LIWE
   
 19. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 13,994
  Likes Received: 1,385
  Trophy Points: 280
  alikuwa anafanya upelelezi gani?
   
 20. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  pia mimi nimemsikia Kova akiongea, anasema aliyepigwa ni mkuu wa upelelezi wa kituo cha polisi SELANDER BRIDGE, anasema madaktari walimshuku tu ndo wakamnyang'anya radio call na kumpa kichapo lakini hakuwa mtu mbaya alikuwa akipeleleza tukio lenyewe.
   
Loading...