Katibu wa MAT Taifa aanza kupigiwa simu kama Dr. Ulimboka... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu wa MAT Taifa aanza kupigiwa simu kama Dr. Ulimboka...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jun 27, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna taarifa kuwa katibu wa Medical Association of Tanganyika (MAT) ameanza kupigiwa simu na watu wasioeleweka kama ilivyomtokea Dr. Ulimboka.

  Madaktari wameshapeana taarifa na wameahidi kumlinda kwa gharama yoyote. Hii inamaanisha ni vita dhahiri kati ya wahudumu wa afya na serikali.

  Tuendelee kuona mwisho wa sakata hili tete!

  GET WELL SOON DR STEPHEN ULIMBOKA!
   
 2. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  amani ya Tanzania itatoweka muda sio mrefu.
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Watembee na bunduki kabisa
   
 4. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jamani tujiandae kuweka utawala mpya basi.
   
 5. K

  Kailanga Senior Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani hamkuelewa pinda alivyosema "liwalo na liwe"?
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sio kwamba madaktari hawawezi kujilinda au kupigana.hii ni basic fact amabyo kila mtu anatakiwa kuijua.
   
 7. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  habari iko shallow sana mkuu. please... Iongezee nyama
   
 8. MESAYA

  MESAYA Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Heri vita inayodai haki na usawa kuliko amani inayopumbaza na inayodhalilisha utu wa mwanadamu
   
 9. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Peleka taarifa Geshi ra porice
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Malizia basi kwa kuweka source: G Lema
   
 11. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watanzania msilalamike! Mliyataka wenyewe!! Acheni serikali ifanye kazi yake! Hiyo serikali mnayoilalamikia mliiweka madarakani wenyewe. Mkatanguliza ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa bila kujali uhalisia wa mambo. Sasa tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapopata akili 2015.
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Uwa naamini kuwa TANZANIA haina amani ila ina utulivu.

  Sasa naona hata ule utulivu unaanza kutoweka kwa kasi na kwa uhakika.
   
 13. S

  Sessy Senior Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanataka kuwaua madakitari wote hii kweli serikali ni dhaifu hii inaonesha wamefika kikomo cha kufikili na kusolve ploblem za wananchi
   
 14. only83

  only83 JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu mhalisi,
  Hivi umeishi Tanzania muda gani? Tanzania haina amani ila ina kautulivu, na hako ka utulivu naona serikali sikivu iliyoweka pamba masikioni imeanza kukapokonya kwenye mikono ya watanzania. Tujiandae kuilinda nchi yetu dhidi ya wakoloni weusi.
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hii habari ni kwa great thinkers tu!
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  g.lema alipigwa na polisi in broad daylight wakati wa kikao cha madiwani!chaguo la shetani linaanza kufanya kazi ya shetani..ushindwe,..
   
 17. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Nyama nadhani itakuwa kitimoto hii
   
 18. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,164
  Trophy Points: 280
  Asiitwe Dhaifu aitwe Shetani wa Tanzania
   
 19. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  G.Lema
   
 20. O

  Original JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa doctor ningewasubiri viongozi waje hospital. Ningewaua mmoja mmoja kwa sumu.
   
Loading...