Je, wewe ni kamanda (mwanachama) kwelikweli au ni shabiki tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, wewe ni kamanda (mwanachama) kwelikweli au ni shabiki tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mashami, Jun 26, 2012.

 1. mashami

  mashami Senior Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mara nyingi tumekuwa watetezi wa CHADEMA humu jukwaani na popote magamba wanapojaribu kupotosha ukweli...,.je wewe ni mwanachama halali na unatimiza wajibu wa uwanachama?
  hebu tufungukeni apa!

  MIMI NI MWANACHAMA WA CHADEMA NO.CDM 0545322 TAWI LA KIMANDOLU
  ARUSHA.
   
 2. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mimi nami ni mwanachama nilijiunga pale Jangwami mwenzi wa Tano tar26
   
 3. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mi Mwanachama lakini ambacho nadhani kipo ni kuwa CDM hawana register ya wanachama katika matawi yao; na hii inatokana na wanachama wengi kujiunga kipindi cha mikutano hivyo inakuwa ngumu kuchukua majina yao.
  na hili lipo hata kwenye tawi letu hapa korogwe
   
 4. S

  Starn JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wengi ni mashabaki tu au unaweza kusema bendera huata upepo.
   
 5. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi sina chama chochote ila naipenda chadema ikiwa ni chama makini yenye kupigania maslahi ya nchi
  but i love chadema
   
 6. KML

  KML JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mimi mwanachama wa muda mrefu tu zaid ya miaka mitatu...
  napenda chadema japo si mchaga kama wengine wasemavyo
   
 7. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Dah hilo nalo neno! Hakika watajitokeza wachache tu wenye kadi. Mimi sina kwakweli.
   
 8. W

  Wenger JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Mimi member hai kabisa tawi la Sinza
   
 9. t

  tara Senior Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi ni mwanachama wa CHADEMA nilijiunga pale PANSIASI MWANZA mwaka juzi....najivunia kushawaishi vijana 12 kujiunga na CHADEMA.....na wameonyesha kuwa hawakujiunga kunifurahisha,wako hai kabisa na wanaendelea kuvuta wengine......
   
 10. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Haya umesomeka vizuri!
   
 11. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  mimi mwanachama,wa pale iringa mjini
   
 12. s

  swrc JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :peace:
  Je unashiriki kikamilifu shughuli zozote za chama au ni mwananchama jina? :llama:
   
 13. m

  mzee wa kijiwe JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 915
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 180
  Mimi ni mwana chama tangu baada ya NCCR kufa/ kuzimia/ samahani kulala usingizi/...../ kadi yangu nime sahau nyumbani nitakuletea baadae
   
 14. m

  mzee wa kijiwe JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 915
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 180
  Mimi ni mwenyekiti wa tawi na nina register ya wana chama wote katika tawi langu, pia nimetengeneza databas, hii ni kazi ya msingi ya kila kiongozi wa tawi, kama kwenu hawafanyi hivyo watimueni mapema kabla Dr. Slaa hajafika huko.
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wewe wasema.
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Cdm 03941**
   
 17. mashami

  mashami Senior Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sawa kamanda ila no.muhimu ni kuhamasisha na wengine ila kazi 2015 kazi iwe nyepisi
   
 18. mashami

  mashami Senior Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wasiliana na ofisi ya chama karibu nawe mcheki namna ya kutatua hili!
   
 19. mashami

  mashami Senior Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tuongezee nguvu!
   
 20. m

  majebere JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Mi nilitupa card yangu baada ya kuona sera zote ni za kibongo flava.
   
Loading...