Gazeti la MAJIRA leo Jumapili mbona halipatikani?

Bibi Ntilie

JF-Expert Member
May 30, 2008
245
8
Asubuhi nilipigiwa simu na jamaa yangu akaniambia nitafute gazeti la MAJIRA la leo Jumapili. Nimelitafuta gazeti hilo kwenye stalls za jirani na zile za mbali zaidi lakini sikuweza kupata gazeti hilo. Je kuna anayeweza kunnijuvya gazeti hilo lina habari gani kiasi cha kununuliwa na kwisha kwa haraka kiasi hicho? Namtafuta kwa simu aliyenipa habari hizi simpati!!!
 
Majira habari zake
1. Tamko jwtz lachafua hali ya hewa nchini (kuna matamko ya wanasiasa akiwemo Dr Slaa, Prof Baregu, Dr Mvungi )

2. Marando amvaa jk kwa tuhu
ma mpya kukwamisha ujenzi wa jengo la mfuko wa mwl nyerere la ghorofa 20

3. Ahadi za jk zatua kwa walimu
 
Asante Malunde-Malundi,
At least wewe umenipa jibu zuri kuliko mgonwa wa Malaria Sugu! Sasa najua kwa nini limeshabikiwa! Naendelea kulitafuta nisome nijue nini kimesemwa humo.
Ubarikiwe.
 
dk slaa kajitoa kugombea urais?

Yaani wewe pamoja na usenior wako fikra zako kama za kina mangungo!!!! Dr. Atakuwa Rais wako octoba 31 na ndani ya miaka mitano bajeti tegemezi kwa heri Tanzania

"Ukiona jambo huwezi usiseme haliwezekani, sema mimi siwezi"
 
Asubuhi nilipigiwa simu na jamaa yangu akaniambia nitafute gazeti la MAJIRA la leo Jumapili. Nimelitafuta gazeti hilo kwenye stalls za jirani na zile za mbali zaidi lakini sikuweza kupata gazeti hilo. Je kuna anayeweza kunnijuvya gazeti hilo lina habari gani kiasi cha kununuliwa na kwisha kwa haraka kiasi hicho? Namtafuta kwa simu aliyenipa habari hizi simpati!!!

Mafisadi wa chama filisi cha CCM wamelinunua kila kona ya jiji.
 
Asubuhi nilipigiwa simu na jamaa yangu akaniambia nitafute gazeti la MAJIRA la leo Jumapili. Nimelitafuta gazeti hilo kwenye stalls za jirani na zile za mbali zaidi lakini sikuweza kupata gazeti hilo. Je kuna anayeweza kunnijuvya gazeti hilo lina habari gani kiasi cha kununuliwa na kwisha kwa haraka kiasi hicho? Namtafuta kwa simu aliyenipa habari hizi simpati!!!

Unaulizia kwa nini gazeti la majira halipatikani? Kwa nini usiulize why tovuti ya chadema haipo hewani? Au umeoverload kwa traffic?
 
Unaulizia kwa nini gazeti la majira halipatikani? Kwa nini usiulize why tovuti ya chadema haipo hewani? Au umeoverload kwa traffic?
Hana haja na kujua tovuti ya CHADEMA ndio maana hajauliza yeye shida yake ni gazeti la majira, kuhusu ishu ya tovuti anzisha topic yake na utajibiwa na sio kudandia post za wenzako na kuharibu habari!!!!
 
Unaulizia kwa nini gazeti la majira halipatikani? Kwa nini usiulize why tovuti ya chadema haipo hewani? Au umeoverload kwa traffic?

Bila shaka hukunielewa ama umekurupuka tu kwa ushabiki usio na tija. Nimeuliza gazeti la MAJIRA la leo. Mitandao ya CHADEMA ama CCM hainihusu sana nilichokuwa nataka kujua ni kitu gani kiko kwenya MAJIRA kiasi cha gazeti hilo kukosekana sehemu nyingi.

Once upon a time Jamiiforums was a serious forum of great thinkers lakini naona imeingiliwa na mamluki!
 
Siyo mchezo. ukiikosoa chadema hapa unaitwa mamluki.
 
ikiwa mashabiki wa chadema ndio wanafikra za namna hii sasa chama chao ndivyo kilivyo hivyo hivyo!!!!
 
Siyo mchezo. ukiikosoa chadema hapa unaitwa mamluki.

Ala kumbe wewe umejihisi kwamba u-mamluki!!

Kwa taarifa yako mimi ni mmoja wa wale wanaoweka TAIFA KWANZA kuliko vyama vya siasa. Sijui wewe mwenzangu uko upande gani? Yaelekea hata hujali taifa likitumbukia shimoni na wewe ukiwemo kwa kudhani kwamba wote wanaochangia humu ni wafuasi wa CHADEMA vs CCM.
 
Nimesikitishwa na huku kuchanganya habari ndugu, hata mtoto mdogo unaemfundisha kuongea ukimwambia niletee bakuli akakuletea kikombe, utajua bado hajajua mambo vizuri. Mtu anasema Gazeti la majira, wewe unasema mtandao tena wa Chadema haileti afya jamani.
 
Back
Top Bottom