Mgomo wa Madaktari, nini kinaendelea kwa sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa Madaktari, nini kinaendelea kwa sasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Profesa, Jun 28, 2012.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Wadau Popote pale mlipo, tumieni thread hii kutupa update ya kinachoendelea pale Muhimbili, KCMC, BUgando, na mahospitali mengine nchini. Pia tungependa wale mlioko jikoni, turushieni cheche kidogo ya mambo yalivyo hapo jikoni nini kinapangwwa ili ktuweka sawa public wakati tunatafakari jambo hili tete kwa usalama wa Taifa.
   
 2. K

  KISIMASA Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kcmc still hakuna kinachoendelea. Tunawaona usalama wa taifa wanazungukazunguka huko nje.hospitali nyeupe. Wagonjwa wachache. Machine nyingi mbovu. Huu uwe muda wa matengenezo.
   
 3. N

  Nyambu Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HIKI KICHAKA CHA WADHAIFU MNATEGEMEA KUNA JIPYA TOFAUTI NA KUWATEKA MADAKTARI?IMEBAKI BORA LIENDE SIKU ZIISHE 2015.:poa
   
Loading...