Mass resignation ya madaktari

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
wakati pinda akijiaandaa kufukuza madaktari,taarifa zinaniambia kuwa madaktari wanajiaandaa kujiuzulu kwa pamoja(mass resignation).
Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa hospitali za private wanaachia fani yao ya utabibu.
 
Nawaunga mkono!
Haiwezekani kodi yangu imlipe mbunge wa mtera lusinde a.k.a mtambo wa mitusi Sh. 10,000,000/= kwa mwezi badala ya kuwalipa madaktari, wauguzi na waalimu,
 
SOURCE plz

Hata kama ni speculation lakini ni logical. Madaktari ni watu wenye ufahamu mkubwa fani yoyote watakayoingia watafanikiwa. Wakiamua kuingia bungeni kama Kigwangala patakuwa hapatoshi. Kama ni biashara si lazima kufanya biashara ya hospitali. Wanaweza kufanikiwa katika enterprise yoyote kuliko kudhalilishwa na kuishi kwa hofu!!!
 
Bora waSignOff tutashukuru ni bora tubaki na ma Medical, Medical Ass, Manesi hata waganga wa muuti Shamba kuliko hawa wanaotumika kisiasa kuiita Serikali dhaifu eti iwalipe 3.5m
 
Back
Top Bottom