Tamko la serikali juu ya mgomo wa matabibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la serikali juu ya mgomo wa matabibu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kajuni, Jun 28, 2012.

 1. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Mwenye taharifa za kuaminika tafadhali atujuze
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  i katika kujipendekeza kwenu kwa ccm tunaomba mjichunge kila mtembeapo jihadharini na mabinti na mjichunge mnakula na kunywa wapi lazima tuondoke na mmoja wenu halafu mapata lessons maana watanzania wanteseka sababu ya serikali ya kufisadi na nyie mnashabikia hali hii especialy kitendo cha gerald hando lazima tujibu mapigo wenzenu watakuwa bungeni na sisi nanyie god bless you guys watch your backs:embarassed2:
   
 3. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  TAMKO NI

  NYIE MADAKTARI WA FAMILIA ZIZIZO ZA UTAWALA TIBUNI WATAWALIWA WENZENU:biggrin: KWA MSHAHARA MDOGO NA HIZO HIZO POSHO KDG :biggrin:

  SIE TUJILIPE MAMILIONI NA KUPIGA DEAL ZA MABILIONI HUKU WATOTO WETU MADAKTARI TUKIWAPELEKA KUONGEZA ELIMU UK KWA KODI ZENU NYIE NYIE WASIO WATAWALA:biggrin:
   
 4. M

  Mohamed Ngwasu JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda amesema watatoa tamko siku nyingine,
   
Loading...