Ushindi wa kishindo wa mtukufu rais kikwete. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushindi wa kishindo wa mtukufu rais kikwete.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NDAMANDOO, Jun 28, 2012.

 1. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Moja ya kauli nilizozisikia kipindi kile ni ari mpya nguvu mpya kasi mpya!
  Najiuliza hii ndio ari mpya?, je hii ndio nguvu mpya? na je hii ndio kasi zaidi? hii ni kasi mpya?
  KAMA WATANZANIA TUNGEFUNULIWA KAMA NYERERE MWAKA 1995, JE RAISI ANGEKUWA NANI?
   
 2. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Bado una usingizi, rudi nyumbani kaoge, uanze siku upya !
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  This is a silly season pia @ jf.Nani kawaroga watu wa jf,leteni hoja zenye mashiko bhana
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mwenye usingizi ni wewe gamba Pambaf zako
   
 5. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Hakika huyu akustahili ata kuwa mwenyekiti wa mtaa Mwl Nyerere Mungu akurehemu uko ulipo 1995 ulituepusha na mengi Eeh Mungu tusamehe waja wako kwa kosa tuliofanya 2005 na tunakuomba utuongeze kuondokana na kikombe iki...Amen.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  najuta najuta najuuuuuuta.....kuchezea kura yangu 2005.....sintakaa....
   
Loading...