Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu nilifuatilia leo asubuhi mahojiano yaliyokuwa yakiendeshwa na mtangazaji wa TBC aliye Dodoma, mahojiano yalikuwa ni kati ya wabunge wawili ambao ni Mbunge wa sikonge kupitia CCM anayeitwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mambo3: haya mukiyatekeleza kwann muendelee kupiga kelele za muungano?. (1) kutoa maoni ya KATIBA mpya ambayo ikimaliza kukusanya maoni itapelekwa kwa rais wa muungano na itajadiliwa bungeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Posted on July 5, 2012 by zanzibaryetu Wajumbe wa baraza la wawakilishi wakiwa katika kikao cha kujadili bajeti ya serikali mwaka 2012/2013 huko Chukwani Mjini Zanzibar Na Juma Mohammed...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mbunge katoa hoja binafsi ya kutaka bunge lijadili suala la kushuka bei ya pamba, kitu cha kushangaza ni kwamba baada ya spika kutoa muongozo wa kueleweka, kwanza amecheka cheka, pili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanachedema naomba ushauri wenu suala hili la viongozi wa Chadema hapa Washington kuvaa kihereni sikioni linakera watu wengi. Sasa tufanyeje? tusije chemsha kama chama cha wenzetu
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ujumbe wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC) uliotolewa na maaskofu hao baada ya kikao chao cha mkutano wa 65 uliofanyika Kurasini DSM na kusomwa na Rais wa TEC Mhashamu Thaddaeus...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Chanzo;Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nakumbuka mwaka 1994 shauritanga ilipoungua waziri mkuu wakati huo samweli malecela alisema serikali itafanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha moto na wataalamu kutoka uingereza (scotland...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge Stella amesema wazi CHADEMA wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema Mungu amemuepusha Uulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama Hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza...
1 Reactions
559 Replies
43K Views
Asubuhi hii nimetembelea hosipitali ya muhimbili , na taasisi ya mifupa ya MOI nimeshuhudia kwa macho yangu Hakuna huduma kabisa! kinachonisikitisha viongozi wa serikali, vyombo vya habari na...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Kuna mtindo umeibuka kwa shule za binafsi kuwalazimisha watoto wa shule kuchangia ujenzi wa hostel za shule (mfano St. Anthony), siyo hilo tu bali wanafunzi pia hutakiwa kulipa gharama za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Posted on July 5, 2012 by zanzibaryetu Jabir Idrissa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa Hutuba yake wakati wa mkutano wa Jumuiya ya Wastaafu wa...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
ZANZIBAR LAW SOCIETY YAANDIKA BARUA KWA RAIS KUHUSIANA NA UTEUZI WA MAJAJI Our Ref:ZLS/IKULU/001 Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu, Zanzibar...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa kimesusa kushiriki katika mapokezi ya mbio za Mwenge ulioanza kukimbizwa mkoani Tanga juzi. Mwenge huo uliopokewa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kile kilio sugu cha Wa Tanzania hususan wanaotoka Bara kuhodho ajira kwa zaidi ya 95% ya ajira zote katika vyombo vya muungano imepata suluhu yake. Kero hiyo imemalizwa kwa kutoa 21% ya ajira zote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani tutafika kweli? Mimi naweza nikawapongeza ma DR kwa njia moja ya kuamuwa nao kuingia kwenye siasa na propaganda za kukubali wanachokisema wanasiasa ya kua wapo kazini lakini kwa hali...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Leo gazeti la Kulikoni limetoa mwanga kuhusu usajili wa utata wa meli za mafuta uliofanywa na serikali ya Zanzibar (SMZ), meli zinazodaiwa kumilikiwa na kampuni za Iran. Tanzania imekabiliwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hivi hawa waheshimiwa hizi taarifa zao za elimu ziko sawa kweli?, kuna sababu ya TCU kuanza kua na MENO na KUCHA kufanya kazi yake, kama viongozi elimu zao ni za kubambia kweli taifa litaelekea...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Tunategemea ujio mpya nguvu utendeji kazi mpya bajeti nzuri.. Nguvu mpya kasi mpyaa..! Tumuunge mkono watanzania
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Kwa sasa kumezuka mtindo ambao watu fulani wanatakiwa kustaafu ama muda unafika wa kustaafu kwa kuwa anastaafu akiwa anaongoza idara ama taasisi fulani unasikia kapewa likizo ya kustaafu ya siku...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…