Hatimaye Kilio cha Ajira cha waZnz chasikika sasa 21% katika vyombo vya muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye Kilio cha Ajira cha waZnz chasikika sasa 21% katika vyombo vya muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Barubaru, Jul 6, 2012.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kile kilio sugu cha Wa Tanzania hususan wanaotoka Bara kuhodho ajira kwa zaidi ya 95% ya ajira zote katika vyombo vya muungano imepata suluhu yake. Kero hiyo imemalizwa kwa kutoa 21% ya ajira zote za vyombo vya muungano kuwa kwa waZnz na itaratibiwa na kamisheni ya Ajira Znz ikishirikiana na Afisi ya makamo wa Rais Muungano.

  Hayo amebainishwa wazi na waziri wa Nchi afisi ya makamo wa Rais Muungano Bi Samia Suluhu Hassan wakti akijibu suala Bungeni Dodoma wakti wakipitisha Bajeti ya Afisi ya Makamo wa Rais hapo Ijumaa nne.

  Chanzo. Zanzibar leo la taarih 5 July 2012.

  Honger sana waZnz kutatua na kupata suluhu a kero hiyo. Kazeni buti mpate na mengine kupunguza maumivu na machungu ya maisha na uchumi wa nchi yenu
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
 3. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Porojo0 tu za bungeni, kazim kwelikweli.....
   
Loading...