Wazanzibar nani kawatuma kutoa maoni yenu kwenye katiba mpya ya TZ?

Same ORG

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
321
21
Kuna mambo3: haya mukiyatekeleza kwann muendelee kupiga kelele za muungano?. (1) kutoa maoni ya KATIBA mpya ambayo ikimaliza kukusanya maoni itapelekwa kwa rais wa muungano na itajadiliwa bungeni na sio baraza la wawakilishi?. (2) KITAMBULISHO cha taifa ambalo litakua ni TANZANIA na sio cha uzanzibar? (3) SENSA. Hapa musitegemee kuwa maoni yenu kuna taasisi ambayo yatasikilizwa hapa mumetiwa changa la macho. ifikikapo mwaka 2016 tutegemee kuwa na nchi moja na ndio mwisho wa kelele zenu..
 
Back
Top Bottom