Serikali inafanya uchunguzi wa kina!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali inafanya uchunguzi wa kina!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jmura, Jul 6, 2012.

 1. j

  jmura Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka mwaka 1994 shauritanga ilipoungua waziri mkuu wakati huo samweli malecela alisema serikali itafanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha moto na wataalamu kutoka uingereza (scotland yard) walienda kufanya uchunguzi ila ripoti yao iliibiwa moshi! Katika ajali hiyo ya moto walkufa wanafunzi 43. Shule ilifanya check up wanafunzi 42 walikufa. Mwili mmoja ulizidi. Baadaye kukawa na matishio ya kuchoma shule mkoani kilimanjaro na hakukamatwa mtu yeyote! Uchunguzi wa kina ulishindwa hata kubaini fuvu lilizidi katika ajali hiyo!
   
Loading...