Asubuhi hii nimetembelea hosipitali ya muhimbili , na taasisi ya mifupa ya MOI
nimeshuhudia kwa macho yangu Hakuna huduma kabisa!
kinachonisikitisha viongozi wa serikali, vyombo vya habari na wakuu wa taasisi hizi wanaeneza
uongo kuwa huduma zinaendelea kama kawaida.
Najiuliza uongo huu ni kwa faida ya nani?
Tunaipeleka wapi nchi hii wandugu,
ukweli uelezwe ili tatizo lipatiwe ufumbuzi.