Wakuu nilifuatilia leo asubuhi mahojiano yaliyokuwa yakiendeshwa na mtangazaji wa TBC aliye Dodoma, mahojiano yalikuwa ni kati ya wabunge wawili ambao ni Mbunge wa sikonge kupitia CCM anayeitwa Said Nkumba na Mbunge wa Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa.
Katika mazungumzo yale niliweza kugundua dhahili tofauti ya uwelewa wa wabunge wawili, wakati yule wa CCM aliishia kuimba nyimbo zilizozoeleka za kusifu serikali ya Chama Cha Mapinduzi mchungaji alionyesha kutoridhika na barabara zilizoshajengwa toka tupate uhuru akilinganisha na mtoto mwenye umri mkubwa lakini afya yake legelege alafu mzazi anajisifu kwamba ana afya njema.
Ukiacha hayo cha kufurahisha zaidi mchungaji alikuwa akiscroll IPAD yake kupata information wakati wa mahojiano na kutake notes, yule wa CCM alikuwa na karatasi kubwa iliyokuwa na mambo yake, cha ajabu hata karamu inaonekana alisahau kwa hiyo akaishia kuongea mambo yasiyo na mashiko.
Kutokana na hayo niliyoyaona kuna haja ya wabunge wa CCM kupigwa msasa juu ya mambo ya ICT kwa ujumla, inaoneka mambo ya IPAD, IPOD, TWEETER, FACEBOOK, JAMII FORUMS yamewapita kushoto. They are simply obsolete
Nawakilisha wana JF