Kipanya Leo

Kipanya Leo

Ni kweli ni muhimu sasa kufikiria anaefuata, coz tumehalalisha udhalimu na mauaji ya kinyama kwa watu wasio na hatia hapo mabwe pande, Ujinga wetu wa kushindwa kukemea uovu huu utatumaliza wengi
 
the next one is RIZZZZZZZZZZZZZ MOJA
 
NEXT: MWIGULU NCHEMBA
REASON: Ili wapate hoja ya kuituhumu CDM vizuri.
 
next ni Mama Salma, lazima ikulu iguswe...sio wao kuwazimisha wenzao tu!
 
Ikitokea umeharibikiwa na gari maneo yale lazma moyo uende mbio sana.
 
Kipaya bana.. Who is Next? hopeful KIBONDE from ClousFM
 
next; Shibuda maana hajulikani baridi au moto!!!
 
Back
Top Bottom