Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tume ya Katiba, Jul 2, 2012.

 1. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mbunge Stella amesema wazi CHADEMA wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema Mungu amemuepusha Uulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama Hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi.

  Pia amesisitiza waliompiga Ulimboka walikuwa na jezi "magwanda" kama ya CHADEMA.

  Tumshukuru huyu mama kwa kubainisha.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. i

  ibange JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Anafikiri kwa masaburi. Wana CCM tambueni, kuwa mwana CCM si tiketi au excuse ya kutofikiri!
   
 3. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Yanayoendelea Bungeni ni Uwendawazimu
   
 4. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Vyeo vya kupewa vitamponza huyu mama ambaye alijinyakulia sifa kwenye kamati ya Richmond leo ameanza vibaya kwa kuishutumu CHADEMA kuwa wanahusika na MGOMO WA MADAKTARI. Mjadala umekuwa hot na ubabe unatumika kumdhibiti Mnyika asifafanue na kueleza ukweli. Nampongeza mnyika yuo're HERO
   
 5. r

  raymg JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huyu mama naona kutumwa na CC
   
 6. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  I'm so mad right
   
 7. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nahisi bunge la leo limeingiliwa
   
 8. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  MH. Machali alitaka kuchangia na ametolewa nje na hii inaudhi mno
   
 9. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Inaonekana kuna collaborated plan ya CCM kutaka kushift tuhuma ziende kwa CHADEMA.............huu ni ujinga wa wazi CCM nchi inawashinda
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hovyo kabisa! Hili bunge linakoelekea ni kutwangana ngumi humo ndani.
   
 11. pinkmousse

  pinkmousse JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pure pure madness, eti mh mnyika naona kama unawashwawashwa hivi! seriously huyu Mabumba lazma anatumia kitu hatari kabla ya kuingia bungeni!
   
 12. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwa style hii Tanzania hatuna Bunge
   
 13. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hapa aiwezekani maamuzi ya ajabu ya m/kiti kama ya kubebabeba uongo si ishu.
   
 14. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Tunahitaji kuwa na Bunge bias kiasi hiki?
   
 15. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mtu mzima namna hii kulazimisha Mabwana ni mbaya sana. Hivi hajui kama rais ana mke na nyumba ndogo nyingi bado naye anataka kuunga tela?
   
 16. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwa style hii Tanzania hatuna Bunge
   
 17. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #17
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Huyu mama amenisikitisha sana ...Sizani kama elimu yake imemsaidia kuondoa ujinga alionao
   
 18. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #18
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Huyu Mabumba.....................ni useless kabisa na huyo Mwigulu ni boya kabisa..............MADNESS
   
 19. k

  keyjey Member

  #19
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa kwa nini wapinzani na nyie mnaweka nafasi za malaya..?
   
 20. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nimeshangaa mwenyekiti kamuacha manyanya anaongea wakati wengine wanaambiwa liko mahakamani. Ni upendeleo wa uwazi.
   
Loading...