Akiongea kwa mbwembwe Leo jioni bungeni Waziri Pombe amesema ofisi za TANESCO Ubunge zimejengwa
kktk hifadhi ya barabara.Nimejiuliza sana jinsi hawa Magamba wanavyotula akili.Mana kama jengo hilo...
Wakuu toka juzi mheshimiwa John Mnyika amlipue mbunge wa Iramba Mashariki Mwigulu Nchemba kuwa ni mtuhumiwa wa wizi wa pesa za EPA,mbunge huyo amekuwa kimya na ameacha kuropoka ropoka ovyo maneno...
Chadema yaichimba Serikali kuhusu Taarifa za Iran kutumia Bendera ya Tanzania
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeibebesha lawama Serikali kikidai ina kigugumizi kuhusu madai ya meli...
Wakuu jamvini, Nimekuwa nafuatilia mijadala ya Bunge letu la Budget kwa muda sasa ila sasa nimechoka kabisa.
Kilicho nichosha ni hii tabia ya baadhi ya wabunge wengi (hasa wa CCM) kutumia muda wao...
MWENYEKITI: Namwita Mheshimiwa Tundu Lissu na badala ya Mheshimiwa Mnyaa,
Mheshimiwa Amina Amour na Mheshimiwa Kafulila na Murtaza Magungu wajiandae.
MHE. TUNDU A. M. LISSU: Mheshimiwa Mwenyekiti...
can anyone show me the good done by the so called dr pombe magufuli, I am so blind to see the good he has done to our country, and more especially to the taxpayers and the down to earth citizens...
Ule unafiki wa CHADEMA kutumia migongo ya Taasisi mbalimbali kujinufaisha kisiasa umebainika l
Unafiki huo umebainika baada ya wakurugenzi wa vituo vya haki za binaadam kukanusha kupanga...
BY THE GUARDIAN REPORTER
6th July 2012
Thirty-Eight Tanzanians from Zanzibar and Pemba return home today from Mogadishu, Somalia where they have lived as refugees for more than a decade, it was...
:A S-baby: NIMEFURAHISHWA saana na Bajeti ya Waziri wa Ujenzi, hakuna mtu aliyepata cha kulaumu. kumbe jamaa hawa na nipasho zao si waperuzi hata bali hutafuta mistari ya nipasho tu. Pigeni kazi...
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika sasa, kifungu kifuatacho kinasema:113A. Itakuwa ni marufuku kwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jaji wa Mahakama Kuu, Hakimu wa...
Mh huyu anajitahidi sana kuzungumza na kuvunja hoja za Upinzani na hususani CHADEMA...
Alinishangaza sana kuwa CHADEMA hawakuzungumza kuwa Mb. wao wa Rombo Mh. Selasini alipopata ajali hakua...
Watanganyiki nasikitika sana kila leo utasikia kuna chama kipya na hii yote ni kwamba vinazaminiwa na CCM Magamba ili kuvuruga jitihada za kukomboa nchi hii mikononi mwa hawa MAGAMBA,hivi...
leo katika kipindi cha tuongee hasubuhi cha Star TV Mh. Mwagulu Mchemba amesema katika bajeti mama inayowasilishwa Bungeni katika mabunge yote Duniani ukiwa mbunge wa Chama tawala kinachowasilisha...
Diwani wa Kata ya Unyambwa, Shaabani Salumu Satu (CCM) asubuhi hii anapanda kizimbani kusomewa hukumu dhidi ya kesi ya kutishia kumuua Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Mkoa wa Singida...
Uvumilivu wetu wa kuvimilia kuteswa,kuumizwa,kubezwa uku wanaotenda hayo wakiendeza unyama dhidi yetu unatokana na nini? uwezo wetu kama watanzania kuvumilia mateso nadhani ni makubwa kuliko raia...