Uvumilivu tuliyonao kuhusu madhila na ufedhuli tunaofanyiwa na serikali inatokana na nii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uvumilivu tuliyonao kuhusu madhila na ufedhuli tunaofanyiwa na serikali inatokana na nii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OPORO, Jul 6, 2012.

 1. O

  OPORO Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uvumilivu wetu wa kuvimilia kuteswa,kuumizwa,kubezwa uku wanaotenda hayo wakiendeza unyama dhidi yetu unatokana na nini? uwezo wetu kama watanzania kuvumilia mateso nadhani ni makubwa kuliko raia wa nchi nyingine yoyote duniani.
  1. Mafuta yanaweza kukosekana tukavulia na baadae ukapata wakipenda wao,wananchi ni kulalamika
  2. Kuumizwa watanzania kwa kuvamiwa,kuteswa na kuuliwa,Mfano, Saed Kubenea,Ndimara Tegambwage,Prof.Juan Mwaikusa,Wafanyabiashara watatu wa mahenge na Dereva teksi waliotupwa kwenye msitu wa pande,Kutekwa na kutendewa kinyama kwa Dr.Ulimboka,manyanyoso dhidi ya viongozi wa wananfunzi,wafanyakazi.
  Je,tatizo nini? tunamapungufu kwenye bongo zetu au? sifa ya kuandika na kuchangia uku tukijihami kwa kuwa mbali na maumivu ya mabadiliko ni yetu Nini kifanyike watanzania?
   
Loading...