MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 331
Mh huyu anajitahidi sana kuzungumza na kuvunja hoja za Upinzani na hususani CHADEMA...
Alinishangaza sana kuwa CHADEMA hawakuzungumza kuwa Mb. wao wa Rombo Mh. Selasini alipopata ajali hakua kiongozi yeyote wa CDM aliyemtembela... ila wanashupalia suala la Dr. Ulimboka... Embu atuambie anauhakika na kauli yake kuwa hakuna kiongozi aliyemtembelea Mh. Selasini, je pia anaweza kutofautisha au kufananisha mazingira ya ajali ya Mh Selasin MBUNGE vs utekaji na kipigo kwa Dr Ulimboka?.
Ni kichekesho sana mtu kama huyu akazungumza tuuuuu, alimradi ameongea...