Mgomo wa daladala moshi kuna mkono wa nani?

Mgomo wa daladala moshi kuna mkono wa nani?

Mtabe

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
675
Reaction score
96
Ndugu wana JF nauanzisha uzi huu mahususi kuzungumzia suala la mgomo wa DALADALA hapa MO town, je kuna mkono wa mtu? Naomba kuwasilisha
 
mkono wa CHADEMA
kinabo ndo mkurugenzi wa manispaa ya MOSHI na mara nyingi anapenda kuongeza ushuru wa masokoni, daladala/ stendi kibabe bila kuangalia hali halisi, mwisho wake anasababisha migomo na uvunjifu wa amani
 
asee mangi mnagomea nini tena arawa,si watu watachelewa kutafuta ngawira
 
Nimepata shida kweli leo imenibidi ni kamate bodaboda fasta ni wahi mambo yangu
 
Jana Arusha route ya Town - Usa-River nayo ilipwaya, kuna namna hapa.

Kinabo & Company
 
Mkuu huu ni zaidi ya mkono, nadhani unaweza kuwa mguu wa JK
 
Ndugu wana JF nauanzisha uzi huu mahususi kuzungumzia suala la mgomo wa DALADALA hapa MO town, je kuna mkono wa mtu? Naomba kuwasilisha

Maana yake hii hapa,MOSHI-M-MUNGU,O-ONESHA,S-SEHEMU,H-HELA,I-ILIPO.POLENI WAJOMBA ZANGU!BWASHEEE!!YESUUUU!NA MARIA!!!
 
Back
Top Bottom