Opinio Poll: Je, unaunga mkono mgomo wa madaktari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Opinio Poll: Je, unaunga mkono mgomo wa madaktari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jul 3, 2012.

?

Je, unaunga mkono mgomo wa madaktari?

 1. Ndio

  85.6%
 2. Hapana

  14.4%
 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Madaktari wamegoma for a 'cause". Je unawaunga mkono? Toa maoni yako tafadhali
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Siungi mkono
  1. Mahakama ilizuia, walipaswa kuheshimu au wakate rufaa
  2. Kuboresha mazingira ya kazi ni jukumu la mwajiri, siyo mwajiriwa
  3. Mshahara wa 3.5m kama kima cha chini kitaleta pengo kubwa kati ya madaktari na watumishi wengine.
  Mengine nitaongeza baadaye
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  naunga
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Umejibu vizuri kama alivyokukaririsha Kikwete
   
 5. m

  moremoney Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  well, the truth is 3.5 ni pesa ambao wanastahili, lakini la msingi zaidi ni hali ya hospital zetu. ni hatari kama hamna hospital ya serikali nchini saiv ambayo ina machine ya citi scan ( this is very bad shame on the government), bei ya citi scan ni kama vx moja tu!! how stupid is that. madai ya madaktari kutaka xray machine kila hospital ya wilaya mzee, iyo iko very reasonable. kuna vitu vingine watanzania inatakiwa tuwe makini navyo, tusibabaike tutafute ukweli kwanza!!
   
 6. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nimefurahi mtu hawezi kupiga kura zaidi ya mara moja kwa id moja
   
 7. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Of course we polisi
  huwezi kuunga.
  umeteka na kumjeruhi ulimboka.
  hutegemewi kuwa upande wa madokta
   
 8. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  solution ni kufungua ID kadhaa
   
 9. D

  DICKIES Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono!
   
 10. i

  ibange JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Madai yao ni ya msingi dhidi ya serikali dhalimu, naunga mkono
   
 11. I

  Imaima Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madai yao ni ya msingi kwa asilimia 100
   
 12. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,601
  Likes Received: 16,559
  Trophy Points: 280
  Nawaunga mkono sababu haijalishi wapo au hawapo bado maisha ya mtanzania yapo hatarini kwa kukosa huduma bora hospitalini.Kuna watu wanadhihaki leo lakini kesho watalia,kwa sababu wanaunga mkono wanasiasa na lugha zao za ulaghai.
   
 13. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poll closed.
   
 14. i

  ibange JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Why it has been closed?
   
 15. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono 100%
   
 16. chakachuaz

  chakachuaz Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  siwezi kuunga mkono...kwani nchi hii sio madaktari pekeee!!!!!!!!!!
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  i cant vote! Ila naunga mkono
   
 18. chakachuaz

  chakachuaz Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hivi weweee kila kada ikisema inagoma jee nchi hii itaenda? wacha mawazo finyu...!!!!!!! zipo njia za kutatua migoggoro na sio mgomo...!!!!!
   
 19. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Naunga Mkono
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono
   
Loading...